Je, Serikali iko tayari kumuwekea ulinzi Ole Sabaya?

Hata wafiwa wa marehemu wangwe wana masikitiko kwa sababu kengeza alimuua
Huyo unayemwita kengeza ni nani katika nchi hii mpaka afike hatua ya kuua mtu aliyekuwa well known kama Chacha Wangwe halafu aachwe tu na vyombo vya dola .Acheni kudharirisha nchi na vyombo vyetu vya dola watu wakaona vyombo vyetu ni dhaifu kumbe siasa zenu za majitaka
 
Idiot, unaelewa msingi wa hoja iliyoletwa wateswaji wa Sabaya unadhani watakubali kutolipiza kisasi? Security kwa Sabaya ni muhimu, kuliko maswala unayoyaingizia ambayo kesi yake ilishakwisha na hata wenye visasi walisha samehe!!
Tangu lini ukamuonea huruma Sabaya?
 
Hii ya kufanya plea bagein ni watanzania wote wakiplea wanasamehewa au some people are above the law?
 
Acheni uhuni sabaya alitenda haki bila uonevu, hakuna ngedere wa kumfanya kitu Lengai, Chadema wote midundiko tu
 
Kwani mbowe yeye aliwekewa ulinzii? Si Yuko huru kabisa
 
Si alifunguliwa mashitaka?mbona hamkwenda kutoa ushaidi?
Kuweka chumvi Magari ya Mbowe,mbona hamkumfumgulia mashitaka na Mawakili wazuri mnao?
Hayo maneno yako yanabaki kuwa majungu sasa!
 
Si alifunguliwa mashitaka?mbona hamkwenda kutoa ushaidi?
Kuweka chumvi Magari ya Mbowe,mbona hamkumfumgulia mashitaka na Mawakili wazuri mnao?
Hayo maneno yako yanabaki kuwa majungu sasa!
Rudia tena kusoma uzi
 
Lowassa alituhumiwa UGAIDI bt mtaani alipewa ulinzi na CDM,

Kilichonishangaza ni kuwa JAMBAZI anaweza kukiri makosa yake na kuachiwa huru Kwa kulipa pesa kidogo.
 
U
Usiamshe walio lala utaaribu mipango ya watu
 
Tunaelekea kaskazini duru zetu zikishatupatia taarifa zisizotia shaka kumhusu, wahanga tuna jambo letu, lipo, na mtaliona.

Kwetu waislamu kisasi ni haki!
Mbona alikaa sana uraiani kabla samia hajatoa amri akamatwe
 
Chacha Wangwe alikufa kwenye ajali ya gari , dereva wake alikamatwa na kuhukumiwa jela , lakini baadaye aliachiwa kwa msamaha wa Rais Benjamin Mkapa .

sasa hawa watu duni wanapokuja kutukana humu ni kwa vile ama hawajui kitu au walikuwa hawajazaliwa
We kweli garasa. Hata hujui chacha wangwe alikufa wakati gani. Kaa na zitto vizuri atakupa mchongo mzima.
 
Si alifunguliwa mashitaka?mbona hamkwenda kutoa ushaidi?
Kuweka chumvi Magari ya Mbowe,mbona hamkumfumgulia mashitaka na Mawakili wazuri mnao?
Hayo maneno yako yanabaki kuwa majungu sasa!
Walibaki kusema aliwabaka sana.
 



Kwa Kweli Mbona inashangaza mno na kusikitisha sana! [emoji848][emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…