Je, Serikali iko tayari kumuwekea ulinzi Ole Sabaya?

Kwa usalama wake ahame kabisa Arusha na Kilimanjaro. Kwanza yeye binafsi nafikiri ameshajipanga pa kuishi na atatoka kimya kimya kabisa kama Kobe. Hii ndiyo nchi yenye uongozi thabiti. Kama hajafunzwa tena huko jela basi atakuwa sikio la kufa halisikii dawa.
 
Watamdinyaa tu
 
Kama hukwenda mahakamani kutoa ushahidi kwa hayo yote uliyoongea then it's just nonsense.
 
Tanzania ni nchi ya amani na Ole Sabaya ni Mtanzania huru. Ana haki za kuishi kwa uhuru kama raia mwingine yoyote. Mbowe, Lissu, Lema wanaishi kwa amani kabisa katika nchi hii. Ndivyo itakavyokuwa kwa Ole Sabaya. Yeyote atakayevunja Sheria atashughulikiwa ipasavyo na vyombo vyetu imara kabisa vya dola! Wajaribu waone!!
 
Je, kengeza aliyemuua chacha wangwe na kufanya jaribio la kumuua Tundu lisu anaulinzi? Pia mkifanya uchaguzi wa mwenyekiti mwingine wa NGO yenu mtujulishe.
Na nyinyi mkiruhusu Samia ashindanishwe na wengine ndani ya chama 2025 ,tujulisheni tafadhali.
 
Kunamtu aliwahi kuniamambia kuwa majambazi wakubwa wanaotumia silaha nakuuza unga huwa hawafungwi wanajadiliana naserekali mambo yanaisha nilikuwasikukubali lakini tokajana nimemkumbuka marehemu yule nikweli tunalalamika eti ajira hatuna kumbe unaweza ukatajirika kwakutumia gengechafu naukapeta haswaukiwa mkiristo nasema kwauchungu wenzetu wanatengeneza gwantamoo watu kama sabaya wakae hukomaisha yao yote sisi tunasamehe wapumzike mwaka mmoja mashehe wapondani miaka 8+hawana kosa tuambiwe ukweli nchi hii inaongozwa nani?kwanini hivi?nimechukia sana sana sihami chama nangoja labda iposiku atatokea Osman wa Ottoman humu tabzania
 

Hakuna lolote atafanywa huku mtaani boss, vinginevyo Makonda ilitakiwa amefanyiwa huo uhuni.
 
Je, kengeza aliyemuua chacha wangwe na kufanya jaribio la kumuua Tundu lisu anaulinzi? Pia mkifanya uchaguzi wa mwenyekiti mwingine wa NGO yenu mtujulishe.
hii meseji ina ukweli mwingi sana nimependa hapo kwenye jaribio halafu likashindikana ikasingiziwa serikali ambayo isingeweza kushindwa 😀
 
Wote aliowatendea ubaya Walipize kisasi bladifaken
 
Kumbe Sabaya kaachiwa huru?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…