Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Binafsi mtu akifanya vizuri huwa namsifia sikatai lakini akileta ujinga namkosoa palepaleEeehh..Mr.babatii..umeanza tena na kwa mama..nazani ww n mmojawapo mliosema anaupiga mwingi pamoja na kina malisa godlisten..sasa anaendelea kuupiga mwingi..tulieni tuu..jmp mtamkumbukaa vzur sanaaaa..nasema vzur sanaaaa..
Sasa tumkumbuke kwa lipi wakati yeye ndio aliyeongeza deni la taifa na imefika mahali serikali imekosa mapato na deni lazima lilipweMtamkumbuka Magufuli mwamba wa Africa tuh fangasi nyie
Kwahio serikali imeshindwa kuwa na ubunifu wa kutengeneza namna ya kupata hizo 12 trillions mpaka ikopi Idea kwa wenye mitandao ya simu kwa kuimpose double taxation!Unadhani hata angekuwa yeye JPM ndiyo tusingelipa hizo kodi za simu huku ameshauriwa na Waziri wake wa Fedha? Eneo la Mawasiliano hasa Simu ndiyo kwenye hela nyingi sana, Imagine Kwa Mwezi Mmoja fedha zinazopitishwa kwenye M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money n.k zinafika shilingi 12 trilioni.
Mbona ile ripa ya 15% ya Loans board iliongezwa naye, hakuna Serikali isiyohitaji kodi kujiendesha
Utaskia mkwara soon, tumesikia kuna watu mnatuma hela kupitia mabasi tukikukamateni fine ni million 10! 😂😂😂Bora kutuma kwenye basi
Hawa wapuuzi kweli hawachelewiUtaskia mkwara soon, tumesikia kuna watu mnatuma hela kupitia mabasi tukikukamateni fine ni million 10! 😂😂😂
Hahahaha sio Tanzania wakufanya haya,mtalalamika lkn litapita .mtaletewa lengine mtalalamika litapitaHawa ni wahuni tu tukatae upumbavu wao mhimu tufungue kesi mahakamani kupinga upumbavu huu.Huyu mama nae Hana huluma kwa Wananchi .
Naamini hata huko benki watapita muda si mrefu.Tumeni hela kwa wakala moja kwa moja ili usipate makato ya kutuma.
Ikiwezekana, kama unayemtumia ana bank account, kwa transaction za kuanzia laki 4 na kuendelea bora umtumie kupitia bank, akitoa kwenye ATM makato hayazidi 2,000.
Kama mbwai na iwe mbwai, tutaacha kutumia simu tuone hizo solidarity zao watazikusanyia wapi.
Matokeo yake,
- makampuni ya simu mapato yatapungua,
- corporate tax zao zitapungua,
- hawa vijana waliojiajiri watapoteza ajira maana watu wakutumia simu kutuma hela watapungua,
Mbaya zaidi, wamepunguza hadi commission walizokuwa wanaoata mawakala kwa about 40%. Vilio vya hawa vijana wanaojiajiri kwenye simu pesa, haitaiacha salama hii serikali. Ogopa sana nchi ambayo unafanya kitu halafu watu wanalalamika kwa machozi.
Mkuu wewe. Walau umejaribu kuonesha nn juu ya haya makatohapo tayari umesha changia mwanao au mtoto wa ndugu yako akapate elimu bora, pia umesaidia ndugu yako popote alipo apate huduma bora hospitalini.
usijutie makato hayo, utafurahia huduma za afya, elimu na barabara.
mjenga nchi ni mwananchi, tujenge nchi yetu.
Hatuna umoja kwa mambo ya msingi.. lakn yale ya kumtoa "diamond" bet tunaungana kama taifaHahahaha sio Tanzania wakufanya haya,mtalalamika lkn litapita .mtaletewa lengine mtalalamika litapita
Yanashindwa hata kuhalalisha bangi tukauze nje tupate kodi.Kwahio serikali imeshindwa kuwa na ubunifu wa kutengeneza namna ya kupata hizo 12 trillions mpaka ikopi Idea kwa wenye mitandao ya simu kwa kuimpose double taxation!
Hivi unajua kuwa yote haya ni zao la kuendesha kwake uchumi kindezi huku akiwavungeni kuhusu uchumi wa kati?Mtamkumbuka Magufuli mwamba wa Africa tuh fangasi nyie
Huo ndo uwezo wa mtanzania ktk kujadili mambo . huwa nacheka sana nikiona mada hz maana najua hakuna jipyaHatuna umoja kwa mambo ya msingi.. lakn yale ya kumtoa "diamond" bet tunaungana kama taifa
Shida miradi mikubwa waliyoianzisha kwa jeuri ya fedha za ndani ndiyo tunakamuliwa sasa.Mtamkumbuka Magufuli mwamba wa Africa tuh fangasi nyie
Huu mchakato ulianzia kwake. He was a problem.Mtamkumbuka Magufuli mwamba wa Africa tuh fangasi nyie
Hizo hela sio za sekta ya mawasiliano tu.Unadhani hata angekuwa yeye JPM ndiyo tusingelipa hizo kodi za simu huku ameshauriwa na Waziri wake wa Fedha? Eneo la Mawasiliano hasa Simu ndiyo kwenye hela nyingi sana, Imagine Kwa Mwezi Mmoja fedha zinazopitishwa kwenye M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money n.k zinafika shilingi 12 trilioni.
Mbona ile ripa ya 15% ya Loans board iliongezwa naye, hakuna Serikali isiyohitaji kodi kujiendesha