Je, Serikali imeamua kugawana 50/50 tozo za simu na Wamiliki wa mitandao?

Yanashindwa hata kuhalalisha bangi tukauze nje tupate kodi.

Tuna mapori yenye rutuba wanashindwa kulima bangi ...


Nasemaje Kodi ifike hata milion 2 ili watanzania akili ziwakae sawa
Wapumbavu sana yani kuliko huu ujinga ni bora wangehalalisha kilimo cha ndumu tuuze nchi jirani na ku export ulaya
 
Umesahau yeye ndio alianzisha huu mchezo? Akatuwekea kodi ya gari kwenye mafuta, sasa hivi wamenogewa wameenda kwenye umeme na ela za kwenye simu
Sasa Magufuli si aliweka sh.50 tu mzee? Was that an insane increment compared na mtu anaeongeza tozo by 100% ya iliopo!
 
Kutoa 100,000 ilikua 3600 sasa hivi 6,100
Kutoa 200,000 ilikua 5300 sasa hivi 8,240
Kutoa 300,000 ilikua 6500 sasa hivi 10,000...
Tuna Rais wa hovyo haijapata kutokea Tanzania hovyo sana.
 
Kuna kila dalili hizo tozo kufutwa na kurudishwa za zamani, kama ilivyokua kwenye bando.
 
Lipeni kodiiiiii, hamtak kulipa kodi halafu mje mlaum et serikali haiwajengei barabarašŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
 
Kwenye kutuma ni zaidi ya nusu...!!! Ni mara mbili na nusu... Na nimeona VODA wameweka wazi kopi cha serikali na kipi chao
 
Serikali haramu inapoamua kuwaibia wananchi wake haina uhalali wa kuitwa serikali ya watu yafaa itumbuliwe
 
Anaingiaje hapa? Halafu ni vzr ukafafanua mtu mpaka awe mwamba wa Africa au shujaa wa Africa anatakiwa awe na vigezo gan kwa bara la Africa?
Mtamkumbuka Magufuli mwamba wa Africa tuh fangasi nyie
 
Mzee wa watu sasa amepumzika kwa amani. Pambaneni na Hali zenu. Maana sasa mna Uhuru wa kuongea na furaha imerejea.
 
Serikali ya hovyo kuwahi kutokea kwa kweli, huwezi ukamkamua mwananchi mlala hoi kiasi hichi it 's to much!! nimeumia sana.
 
Kumbuka hapo ni kutoa tu pia kunamakato ya anae tuma
 
Mama hataki kodi za dhulma!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…