Je, Serikali imeamua kugawana 50/50 tozo za simu na Wamiliki wa mitandao?

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
20,834
Reaction score
26,217
Kutoa 100,000 ilikua 3600 sasa hivi 6,100
Kutoa 200,000 ilikua 5300 sasa hivi 8,240
Kutoa 300,000 ilikua 6500 sasa hivi 10,000
Kutoa 400000 ilikua 7000 sasa hivi 11,100
Kutoa 500,000 ilikua 7500 sasa hivi 12,700
Kutoa 600,000 ilikua 8000 sasa hivi 13,900
Kutoa 700,000 ilikua 8000 sasa hivi 15,100
Kutoa 800,000 ilikua 8000 sasa hivi 15,520
Kutoa 900,000 ilikua 8000 sasa hivi 16,900
Kutoa 1,000,000 ilikua 8000 sasa hivi 17,400
Kutoa 3,000,000 ilikua 10000 sasa hivi 20,000

Hiyo list ni ya MAKATO YA ZAMANI NA YA SASA .NA APO NI KUTOA KWA WAKALA.

BADO KUTUMA🤔
 
Kutoa 300,000 ilikua 6500 sasa hivi 10,000...
Kwanini ulizaliwa Tanzania?🤔
 
Hawa ni wahuni tu tukatae upumbavu wao mhimu tufungue kesi mahakamani kupinga upumbavu huu. Huyu mama nae Hana huruma kwa Wananchi .
 
Mtamkumbuka Magufuli mwamba wa Africa tuh fangasi nyie
Unadhani hata angekuwa yeye JPM ndiyo tusingelipa hizo kodi za simu huku ameshauriwa na Waziri wake wa Fedha? Eneo la Mawasiliano hasa Simu ndiyo kwenye hela nyingi sana, Imagine Kwa Mwezi Mmoja fedha zinazopitishwa kwenye M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money n.k zinafika shilingi 12 trilioni.

Mbona ile riba ya 15% ya Loans board iliongezwa naye, hakuna Serikali isiyohitaji kodi kujiendesha
 
Kutoa 100,000 ilikua 3600 sasa hivi 6,100
Kutoa 200,000 ilikua 5300 sasa hivi 8,240
Kutoa 300,000 ilikua 6500 sasa hivi 10,000
Kutoa 400000 ilikua 7000 sasa hivi 11,100
Kutoa 500,000 ilikua 7500 sasa hivi 12,700
Kutoa 600,000 ilikua 8000 sasa hivi 13,900
Kutoa 700,000 ilikua 8000 sasa hivi 15,100
Kutoa 800,000 ilikua 8000 sasa hivi 15,520
Kutoa 900,000 ilikua 8000 sasa hivi 16,900
Kutoa 1,000,000 ilikua 8000 sasa hivi 17,400
Kutoa 3,000,000 ilikua 10000 sasa hivi 20,000

Hiyo list ni ya MAKATO YA ZAMANI NA YA SASA .NA APO NI KUTOA KWA WAKALA.

BADO KUTUMA🤔
Wameona njia ya kuwapiga fine haifai tena 😅😅😅 wameamua kubuni mbwinu yani serikali inakinga kama ISP’s wakila buku nayo inakula buku!
 
Kutoa 100,000 ilikua 3600 sasa hivi 6,100
Kutoa 200,000 ilikua 5300 sasa hivi 8,240
Kutoa 300,000 ilikua 6500 sasa hivi 10,000
Kutoa 400000 ilikua 7000 sasa hivi 11,100
Kutoa 500,000 ilikua 7500 sasa hivi 12,700
Kutoa 600,000 ilikua 8000 sasa hivi 13,900
Kutoa 700,000 ilikua 8000 sasa hivi 15,100
Kutoa 800,000 ilikua 8000 sasa hivi 15,520
Kutoa 900,000 ilikua 8000 sasa hivi 16,900
Kutoa 1,000,000 ilikua 8000 sasa hivi 17,400
Kutoa 3,000,000 ilikua 10000 sasa hivi 20,000

Hiyo list ni ya MAKATO YA ZAMANI NA YA SASA .NA APO NI KUTOA KWA WAKALA.

BADO KUTUMA🤔
Nchemba's easy tax collection system
 
Hili Jambo ndo kaliweka yeye
Kwa hiyo Rais akisema mbunge anatii,ndio kazi ya mbunge?
Mama anaonewa tu,
Wabunge 400 hawakuliona kwa kina
Rais nikupitisha sheria kama alivyopitisha sheria ya Kinga
 
Back
Top Bottom