Just for curiosity, kuna matendo yanafanywa na serikali wazi wazi kuwa yanayoakisi UHAINI WA SERIKALI dhidi ya wananhi wenye mamlaka, maana mamlaka ya serikali yanatoka kwa wananchi!
Kama serikali inafanya uhaini dhidi ya wananchi, kwanini wananchi nao wasifanye uhaini dhidi ya serikali ambayo ina Haini mamlaka yao
Ibara ya 8 ya katiba ya Jamhuri ya Muungano inasema (1) Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayofuata misingi ya demokrasia na Hali ya kijamii kwa hiyo.
(a) Wananchi ndio msingi wa mamlaka yote na serikali itapata madaraka na mamlaka yake yote kutoka kwa wananchi kwa mujibu wa katiba hii;
(b) Lengo kuu la serikali litakuwa ni ustawi wa wananchi;
(c) serikali itawajibika kwa wananchi;
(d) wananchi watashiriki katika shughuli za serikali yao kwa mujibu wa masharti ya katiba hii.