Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwakua baba yako ni shetani na ndio alikuambia hivyo.Magufuli naamini yuko kwà shetani hata mimi.
Sijui kwanini umeamua kujivunjia heshima yako!, piga sprite itapunguza hangoverLeo naandika mambo ya jicho la tatu.
Kama Kuna mtu haamini juu ya viumbe visivyo onekana basi msg hii imfikie popote alipo.
Hayati Magufuli amelala ila mwendo aliumaliza.
Watu wasio mpenda Waka sema Asante Mungu jitu katili limeondoka ngoja tuitamalakie nchi tule nakufurahia maisha.
Wengine kwa furaha wakasema wema hawafi ila wabaya ndio wanakufa kwenye ukumbi uleule Hayati alisimama kupeperusha benders ya CCM. Jambo hawakulijuwa walizika mwili ila roho ipo na sio ipo kuangalia Yale yanafanywa ila inadai haki yake yakuwa haikufanya kwa utashi wake na yote aliamua na wao walikuwapo iweje leo wamkane na kumbeza...
Hapo ndio pamenoga. Ndugu zangu watu hawafi picha ni Kali na ni yaku Tisha. Wanao nielewa wamenielewa.
Kuna wanao naka kiti ila watakisikia Kuna wanao kutarajia ila midomo yao imepotexa tarajio lao Kuna walio shituka Waka Kaa kimya ila matendo yao pia wamekikosa kiti.
Kiufupi hakuna wakutoboa ni mwendo wa conspiracy na picha kila mtu atajifungia na kusali kwa sala zake. Mimi naita Magufuli ghost.
Kila atakaye kutana nalo hatorudi kutusimulia.
Maandishi haya kama hayajatokana na hangover ya Kangala basi itakuwa ya WanzukiLeo naandika mambo ya jicho la tatu.
Kama Kuna mtu haamini juu ya viumbe visivyo onekana basi msg hii imfikie popote alipo.
Hayati Magufuli amelala ila mwendo aliumaliza.
Watu wasio mpenda Waka sema Asante Mungu jitu katili limeondoka ngoja tuitamalakie nchi tule nakufurahia maisha.
Wengine kwa furaha wakasema wema hawafi ila wabaya ndio wanakufa kwenye ukumbi uleule Hayati alisimama kupeperusha benders ya CCM. Jambo hawakulijuwa walizika mwili ila roho ipo na sio ipo kuangalia Yale yanafanywa ila inadai haki yake yakuwa haikufanya kwa utashi wake na yote aliamua na wao walikuwapo iweje leo wamkane na kumbeza...
Hapo ndio pamenoga. Ndugu zangu watu hawafi picha ni Kali na ni yaku Tisha. Wanao nielewa wamenielewa.
Kuna wanao naka kiti ila watakisikia Kuna wanao kutarajia ila midomo yao imepotexa tarajio lao Kuna walio shituka Waka Kaa kimya ila matendo yao pia wamekikosa kiti.
Kiufupi hakuna wakutoboa ni mwendo wa conspiracy na picha kila mtu atajifungia na kusali kwa sala zake. Mimi naita Magufuli ghost.
Kila atakaye kutana nalo hatorudi kutusimulia.
Ni rahisi zaidi kwa ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko 'tajiri' kuingia kwenye ufalme wa Mungu. Hapa neno tajiri lina upana wake. Safari ya mbinguni ina vikwazo vingi, njia ni nyembamba, sio sawa na safari ya Dar- Chamwino au Dar- chato.Japo ma ghost yapo, maghost ni mizimu, hao ni wale ambao roho zao bado ziko kuzimuni ndio mizimu wao huibuka zikowemo zile roho za walio toharani, lakini kwa waliokufa katika Kristu Yesu hawa wanakwenda straight peponi. JPM yeye amekwenda straight peponi mbinguni kwa Baba yake
Tunaokolewa kwa neema na sio kwa matendo!. JPM neema hiyo ya wokovu ilimdondokea hivyo amini nakuambia JPM yuko na Baba Yake nyumbani kwa Baba Yake !. Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amaniNi rahisi zaidi kwa ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko 'tajiri' kuingia kwenye ufalme wa Mungu. Hapa neno tajiri lina upana wake. Safari ya mbinguni ina vikwazo vingi, njia ni nyembamba, sio sawa na safari ya Dar- Chamwino au Dar- chato.
Kwa hiyo mbinguni ulimpeleka wewe au mtoa mada?. Sio kila kitu au jambo unaloamini unaweza kulitolea ushahidi. Mfano Mimi najua kabisa Hitler aliua wayahudi, lakini Sina ushahidi. Sio kwamba Hitler ndie aliua kila myahudi kwa mkono wake mwenyewe. Au hii miundombinu iliyojengwa kwa kodi za waTz na mikopo mnayoimba magufuli amejenga, wapi magufuli alionekana anakoroga zeg?Huko motoni ulimpeleka wew? Alimuua nani na ushahidi upi? Mbona wew hakukuua? Achen kuendeshwa na chuki za wanasiasa
Sina shaka na andiko lako. Japo nilisha andikaAsante sana kwa hii
Tupo tunaoamini
Ni kweli kuna watu walifurahi na kweli sasa ni kula kwa urefu wa kamba yake
Hili pia ni kweli on both ways, kuna wema wanaopendwa na wengi, hufa wangali vijana, na kuna wabaya ambao hufa mapema kutokana na adhabu ya karma ya uovu wao.
Ila pia kuna wema wanaishi maisha marefu kutokana na mema yao, na kuwa waovu na wachawi wanaoishi maisha marefu hadi kuwa vigagula kama gagula kwa nguvu za uchawi wao!.
Naunga mkono hoja, holi hata mimi nililisema Life After Life: Je, wajua Magufuli huko alipo anayaona yote? Je, tuendeleze 'double standards' ya 'cherry picking' au tuiachie Karma iwashughulikie?
Japo ma ghost yapo, maghost ni mizimu, hao ni wale ambao roho zao bado ziko kuzimuni ndio mizimu wao huibuka zikowemo zile roho za walio toharani, lakini kwa waliokufa katika Kristu Yesu hawa wanakwenda straight peponi. JPM yeye amekwenda straight peponi mbinguni kwa Baba yake Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
P
Asante naomba link ya andiko lako please!.Sina shaka na andiko lako. Japo nilisha andika
Nasema hivi kile nimeandika nimesha andika hivyo ulicho andika wewe pia Sina shaka nacho. 🙏Asante naomba link ya andiko lako please!.
P
Paskali huwa nakuelewa sana ila usiongee vitu usivyo kuwa na uhakika nao unaweza mislead watu. Kwenye biblia Whether umekufa katika kristo or not wote mnakua mmelala na hamjitambui ila Yesu atakaporudi ndio waliokufa katika kristo mtafufuliwa kwanza ndio mtaenda mbinguni!!Japo ma ghost yapo, maghost ni mizimu, hao ni wale ambao roho zao bado ziko kuzimuni ndio mizimu wao huibuka zikowemo zile roho za walio toharani, lakini kwa waliokufa katika Kristu Yesu hawa wanakwenda straight peponi. JPM yeye amekwenda straight peponi mbinguni kwa Baba yake Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
P
Je niona kesho.... Time will Teri.Leo naandika mambo ya jicho la tatu.
Kama Kuna mtu haamini juu ya viumbe visivyo onekana basi msg hii imfikie popote alipo.
Hayati Magufuli amelala ila mwendo aliumaliza.
Watu wasio mpenda Waka sema Asante Mungu jitu katili limeondoka ngoja tuitamalakie nchi tule nakufurahia maisha.
Wengine kwa furaha wakasema wema hawafi ila wabaya ndio wanakufa kwenye ukumbi uleule Hayati alisimama kupeperusha benders ya CCM. Jambo hawakulijuwa walizika mwili ila roho ipo na sio ipo kuangalia Yale yanafanywa ila inadai haki yake yakuwa haikufanya kwa utashi wake na yote aliamua na wao walikuwapo iweje leo wamkane na kumbeza...
Hapo ndio pamenoga. Ndugu zangu watu hawafi picha ni Kali na ni yaku Tisha. Wanao nielewa wamenielewa.
Kuna wanao naka kiti ila watakisikia Kuna wanao kutarajia ila midomo yao imepotexa tarajio lao Kuna walio shituka Waka Kaa kimya ila matendo yao pia wamekikosa kiti.
Kiufupi hakuna wakutoboa ni mwendo wa conspiracy na picha kila mtu atajifungia na kusali kwa sala zake. Mimi naita Magufuli ghost.
Kila atakaye kutana nalo hatorudi kutusimulia.
We see today 🙏🇹🇿Leo naandika mambo ya jicho la tatu.

We huijui JF vizuri Subiri time will Tell. And i thnik Humjui vizuri TumainiEI na Nyuzi zake hapa jukwaani.Maandishi haya kama hayajatokana na hangover ya Kangala basi itakuwa ya Wanzuki
Mimi pia ni mgeni hapa jukwaani, lakini huyu mwamba TumainiEl huwa mara nyingi hakosei!We huijui JF vizuri Subiri time will Tell. And i thnik Humjui vizuri TumainiEI na Nyuzi zake hapa jukwaani.
Majibu mujarrabu kabsaKwa hiyo mbinguni ulimpeleka wewe au mtoa mada?. Sio kila kitu au jambo unaloamini unaweza kulitolea ushahidi. Mfano Mimi najua kabisa Hitler aliua wayahudi, lakini Sina ushahidi. Sio kwamba Hitler ndie aliua kila myahudi kwa mkono wake mwenyewe. Au hii miundombinu iliyojengwa kwa kodi za waTz na mikopo mnayoimba magufuli amejenga, wapi magufuli alionekana anakoroga zeg?
Muuaji huyo....alimtishia kumpoteza Ben Saa8 humu JF na kweli Ben akapotea within no time. Alipokumbushwa mbio akafuta ule uzi!Mimi pia ni mgeni hapa jukwaani, lakini huyu mwamba TumainiEl huwa mara nyingi hakosei!
Nimefuatilia nyuzi zake nyingi za huko nyuma.
Kingine kizuri kwake, namwona ni mzalendo kwa nchi yake.