Je, Serikali ya awamu ya sita itatoboa salama 2025 au yajayo ni siri Kali?

Je, Serikali ya awamu ya sita itatoboa salama 2025 au yajayo ni siri Kali?

Leo naandika mambo ya jicho la tatu.

Kama Kuna mtu haamini juu ya viumbe visivyo onekana basi msg hii imfikie popote alipo.
Hayati Magufuli amelala ila mwendo aliumaliza.

Watu wasio mpenda Waka sema Asante Mungu jitu katili limeondoka ngoja tuitamalakie nchi tule nakufurahia maisha.

Wengine kwa furaha wakasema wema hawafi ila wabaya ndio wanakufa kwenye ukumbi uleule Hayati alisimama kupeperusha benders ya CCM. Jambo hawakulijuwa walizika mwili ila roho ipo na sio ipo kuangalia Yale yanafanywa ila inadai haki yake yakuwa haikufanya kwa utashi wake na yote aliamua na wao walikuwapo iweje leo wamkane na kumbeza...

Hapo ndio pamenoga. Ndugu zangu watu hawafi picha ni Kali na ni yaku Tisha. Wanao nielewa wamenielewa.
Kuna wanao naka kiti ila watakisikia Kuna wanao kutarajia ila midomo yao imepotexa tarajio lao Kuna walio shituka Waka Kaa kimya ila matendo yao pia wamekikosa kiti.

Kiufupi hakuna wakutoboa ni mwendo wa conspiracy na picha kila mtu atajifungia na kusali kwa sala zake. Mimi naita Magufuli ghost.

Kila atakaye kutana nalo hatorudi kutusimulia.
Mkuu

Huwa sikubezi,nakiri kwamba hawatoboi!kabisa!!!

Kama wengine hatuambiwi walipo na kimya kimetanda na tetesi ndio zina nguvu eti watangaze!!?watangaze Nini!!?


Mungu ibariki Tanzania!
 
Mkuu

Huwa sikubezi,nakiri kwamba hawatoboi!kabisa!!!

Kama wengine hatuambiwi walipo na kimya kimetanda na tetesi ndio zina nguvu eti watangaze!!?watangaze Nini!!?


Mungu ibariki Tanzania!
What if amefichwa Ili upepo wa mafua upite?
 
Back
Top Bottom