Tusubiri Katiba mpya!Hizi ni awamu 2 za hovyo sn
Majangili yote yamerudi kwenye systemMambo ya unanijua mi nani yanarudi kwa kasi Sana
Viongozi wanazimba na nafasi zao kwa sababu kwa sasa uhakika upo utumbuaji umepungua kwa hiyo hawajali lolote
Yaani mtoa post amewaza kama nilivyokuwa nawaza jana usiku nilipofika nyumbani kwangu na kukuta umeme umekatika mpaka naenda kulala sa4 bila bila nilitafakari sana nikasema maisha yamerudi kama zamani enzi za jkMajangili yote yamerudi kwenye system
Wala maza huwezi kumsikia anaongelea, nchi imekuwa ya hovyo sn kwa muda mfupiYaani mtoa post amewaza kama nilivyokuwa nawaza jana usiku nilipofika nyumbani kwangu na kukuta umeme umekatika mpaka naenda kulala sa4 bila bila nilitafakari sana nikasema maisha yamerudi kama zamani enzi za jk
Pigia kabisa mstari. ➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖Mambo mengi yanayoendelea kwenye Serikali ya Awamu ya sita mengi yanashabihiana na yaliyokuwa yanafanyika kwenye Serikali ya Awamu ya Nne. Mfano uteuzi katika nafasi mbalimbali sura nyingi ni zile za Awamu ya Nne. Ubadhirifu wa mali za umma hazijibiwi kabisa au hazifanyiwi suluhisho. Fedha zinarudi kwa watu binafsi baadhi na mambo mengine mengi yanashabihiana na yaliyokuwa yanafanyika kwenye Serikali ya Awamu ya Nne. Je hili ni Tawi lake? Karibuni kwa mjadala kuhusu hili na nini tushauriane.
Tunazungumzia awamu hii na ya nne hatuko hapa kushindanisha😁hata ya awamu ya tano ilikuwa tawi la awamu ya tatu sema tu tawi lenyewe likakonyolewa kwa mabadiliko ya Tabia nchi
Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
Wewe unaonaje?Mambo mengi yanayoendelea kwenye Serikali ya Awamu ya sita mengi yanashabihiana na yaliyokuwa yanafanyika kwenye Serikali ya Awamu ya Nne. Mfano uteuzi katika nafasi mbalimbali sura nyingi ni zile za Awamu ya Nne.
Ubadhirifu wa mali za umma hazijibiwi kabisa au hazifanyiwi suluhisho. Fedha zinarudi kwa watu binafsi baadhi na mambo mengine mengi yanashabihiana na yaliyokuwa yanafanyika kwenye Serikali ya Awamu ya Nne.
Je, hili ni Tawi lake? Karibuni kwa mjadala kuhusu hili na nini tushauriane.
... SEKTA BINAFSI ikifa inamaanisha uchumi wa nchi ni mfu pia!.
. . .
Ubadhirifu wa mali za umma hazijibiwi kabisa au hazifanyiwi suluhisho. Fedha zinarudi kwa watu binafsi baadhi na mambo mengine mengi yanashabihiana na yaliyokuwa yanafanyika kwenye Serikali ya Awamu ya Nne.
Je, hili ni Tawi lake? Karibuni kwa mjadala kuhusu hili na nini tushauriane.
Na hata huu mgao wao wa umeme wa sasa, unaweza kuta una jambo nyuma ya pazia. Muda si mrefu utashangaa akina IPTL, Agreco, Richmond, Dowans, Symbion, na wengineo wengi; wamerejeshwa kinyemela.
Ndiyo ni tawi na zote za hovyoMambo mengi yanayoendelea kwenye Serikali ya Awamu ya sita mengi yanashabihiana na yaliyokuwa yanafanyika kwenye Serikali ya Awamu ya Nne. Mfano uteuzi katika nafasi mbalimbali sura nyingi ni zile za Awamu ya Nne.
Ubadhirifu wa mali za umma hazijibiwi kabisa au hazifanyiwi suluhisho. Fedha zinarudi kwa watu binafsi baadhi na mambo mengine mengi yanashabihiana na yaliyokuwa yanafanyika kwenye Serikali ya Awamu ya Nne.
Je, hili ni Tawi lake? Karibuni kwa mjadala kuhusu hili na nini tushauriane.
Kwani kale kakubadilishia stesheni amekashika nani?Mambo mengi yanayoendelea kwenye Serikali ya Awamu ya sita mengi yanashabihiana na yaliyokuwa yanafanyika kwenye Serikali ya Awamu ya Nne. Mfano uteuzi katika nafasi mbalimbali sura nyingi ni zile za Awamu ya Nne.
Ubadhirifu wa mali za umma hazijibiwi kabisa au hazifanyiwi suluhisho. Fedha zinarudi kwa watu binafsi baadhi na mambo mengine mengi yanashabihiana na yaliyokuwa yanafanyika kwenye Serikali ya Awamu ya Nne.
Je, hili ni Tawi lake? Karibuni kwa mjadala kuhusu hili na nini tushauriane.
Hiyo ndiyo imerudi kwa kasi sanaMambo ya unanijua mi nani yanarudi kwa kasi Sana
Viongozi wanazimba na nafasi zao kwa sababu kwa sasa uhakika upo utumbuaji umepungua kwa hiyo hawajali lolote