Je, Serikali ya Awamu ya sita ni Tawi la Serikali ya Awamu ya Nne?

Je, Serikali ya Awamu ya sita ni Tawi la Serikali ya Awamu ya Nne?

Mambo mengi yanayoendelea kwenye Serikali ya Awamu ya sita mengi yanashabihiana na yaliyokuwa yanafanyika kwenye Serikali ya Awamu ya Nne. Mfano uteuzi katika nafasi mbalimbali sura nyingi ni zile za Awamu ya Nne.

Ubadhirifu wa mali za umma hazijibiwi kabisa au hazifanyiwi suluhisho. Fedha zinarudi kwa watu binafsi baadhi na mambo mengine mengi yanashabihiana na yaliyokuwa yanafanyika kwenye Serikali ya Awamu ya Nne.

Je, hili ni Tawi lake? Karibuni kwa mjadala kuhusu hili na nini tushauriane.
Sasa wao wa awamu ya 6 hawajitambui mpaka wawekewe watu? Nchi hii itapona siku mzoga ikiitwa kwa muumba!
 
Wale wale wahuni na majizi wa awamu ya nne wamerudi tena awamu hii
 
Back
Top Bottom