Je, Serikali ya Magufuli kuwatosa Wapalestina? Netanyahu anakuja Afrika ya Mashariki

Israel ina faida kwetu kuliko Palestina. Mnataka kujifanya hamkumbuki Palestinian Liberation Organization ilivotuma wapiganaji wake kwa Iddi Amin waje kuipiga Tanzania. Kipindi icho mbabe Yasser Arafat ndo kiongozi wake. Hii inadhihirisha kuwa kila nchi inatazama maslahi yake. Ubinadamu duniani hakuna, kama ndo hivo Ujerumani hii ya leo ndo iliipiga Ulaya na kuwaua Waingereza, Wafaransa na wengine lakini miaka chini ya 30 badae ikawa kwenye muungano nao. Hata hivo naona Netanyau anazunguka dunia nzima kipindi hiki. Mwisho wa mwezi alikuwa Russia.
 
... hakuna mwenye wazo wala nia ya kuifuta Palestina. Wameombwa mara kadhaa waishi kwa amani na Israel bahati mbayo ndio hivyo tena - kibri! Hawataki!

Labda hujaona ramani ya ardhi yao ilivyokuwa inaporwa systematically kuanzia 1948 hadi 2020. Unashauri watulie kama wananyolewa huku IDF na Masetler wa kiisrael wakiendelea kutwaa ardhi mdogomdogo au vipi?
 
Kuanzisha uhusiano na Israel ni sehemu ya kuwatosa Wapalestina.

Mbona hatukuanzisha uhusiano na serikali ya makaburu Afrika ya Kusini?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kukubali.kutumia teknolojia ya Israel basi tukubali kuwa USA watajuwa siri zote zetu. Israel hawezi kumficha kitu USA.
 
Wapalestina wenyewe wanaitambua Israel ila hawatambui Madai ya Israel kujaribu kutwaa na kidogo chao kilichobakia
Tumekwenda wrong direction with regard to their cause.

Salim Ahmed Salim alikoseshwa Ukatibu Mkuu wa UN kwa sababu Tanzania ilionekana imejinasibisha zaidi na Palestina, tulishaondoka kwenye mshikamano hivyo na Wapalestina kabla Magufuli hajawa rais.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unachanganya mambo:
1. Ya Rwanda na Uganda waachie wenyewe.
2. Ya Makonda na haki za wapalestina ni vitu 2 tofauti.
3. Kama Netanyahu haji TZ safari yake haituhusu.
4. Uko nje ya mada: jibu hoja za USA khs human rights and democracy hapa bongoland.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua maana ya values kama vile:

Compassion, justice, honesty, care for the weak, na respect to humanity dignity?

MKuu pole sana.
nadhani tupige kimyaa Muda utasema.
hili lilishaamuliw asikunyingi maana kuna watu wanaona waisrael kama Mungu wao, wakati wao ni wakristo na wanaoteseka mfano betheleem ni wakristo pia ambao ni wapalestine.

Wajinga wakisikia wapalestina wanafikir ni waisalam tu, kumbe kuna wadini zote amabo ni wapalestina.
 

Mbona kuna watu wameenda huko nje kuuza utu wao na vijisenti mnawashabikia tena kuna watu wanasema hiyo marekani unayoituhumu kuwa mungu wabariki wazungu, lakini hujawapinga?
 

Niko nje ya mada kivipi wakati hicho ulichonukuu ndo mada yenyewe?

Kweli elimu yetu imeshuka
 
Mkuu hiyo misingi tulishaachana nayo kitambo tu, kwa saaa ni mwendo wa diplomasia ya uchumi tu, kama Waarabu wenyewe wameshawatelekeza Wapalestina, unategemea sisi Waarabu weusi tuendelee kuwaendekeza? Kwa maslahi ya nani?

Nakujumbusha kuwa mwaka juzi alikuja Mfalme Hassan V wa Morocco, ambao wanawakandamiza Waarabu wenzao wa Sahara Magharibi na tukampokea, ameahidi kujenga uwanja wa soka mkubwa kule Dodoma. Hilo latosha kujua msimamo wetu kwa sasa.

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona kuna watu wameenda huko nje kuuza utu wao na vijisenti mnawashabikia tena kuna watu wanasema hiyo marekani unayoituhumu kuwa mungu wabariki wazungu, lakini hujawapinga?

Mimi siwashabikii hao walioenda nje na tuhuma zako unaelekeza kwangu kama personal attack
Au ndio uandishi tu huo
Mimi naandika maoni yangu tu na siwakilishi mtu humu


Sent from my iPhone using Tapatalk
 

Huo uchumi tulioupata baada ya aina mpya ya diplomasia uliyogusia uko wapi?
 
Tanzania hatuna Adui wala Rafiki wa Kudumu. Tuangalie Maslahi ya Kudumu tu. Ujinga tulishafanya zamani. Haturudii tena .tuliowasaidia udai uhuru wapo wapi?nasi tupo wapi? TWENDENI NA ISRAEL TUJIKWAMUE KIUCHUMI.

 
Mimi ninaomba Rais wetu aamue kwa kuangalia maslahi mapana ya Tanzania. Mengine hayatuhusu!
 
Welcome Honorable Prime Minister Benjamin Netanyahu our son to the land of your parents ,

Moses and your forefathers who were born in Africa and were citizens of Africa by birth.You went to israel to seek better life and green pastures.Welcome back.

As your parents we are happy that you managed to have good life there in Israel.The only strong state outside Africa that was established by africans who immigrated to Israel led by Moses and Joshua the great Africans statesmen.We are proud of you.

Strong Relationship betweeen Israel and Africa has long history even during Jesus birth when Jesus the Jew wanted to be killed by Herod in Israel his family and Jesus remembered their historical homeland and fleed to Africa .He got all the necessary protection from africans and returned to Israel safely.

Honorable Prime minister you are warmly welcome to Africa to meet with your Africans mothers,fathers, brothers and sisters etc that you left behind when you immigrated to Israel.

Israel is a country of Africans diaspora who immigrated to Israel.We as Africans we love you and we are with you.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…