Je, Serikali ya Magufuli kuwatosa Wapalestina? Netanyahu anakuja Afrika ya Mashariki

Je, Serikali ya Magufuli kuwatosa Wapalestina? Netanyahu anakuja Afrika ya Mashariki

Tunawahitaji wayahudi Zaidi kuliko wapalestina.
No wonder CCM wanatukanwa na kudharauliwa!!
Kwenye mjadala kama huu unawekaje majibu rahisi kama haya?

Weka sababu za kuwahitaji zaidi wayahudi kuliko wapalestina, hivyo ndio namna ya kufanya mjadala.
Mleta mjadala amechambua na kuitetea hoja yake vizuri sana, japo sio lazima kuwa yupo sahihi.
Maana hizi zinaweza kuwa hisia zake tu, ambazo hazibebwi na tafiti au tuseme takwimu yoyote.

Samahani kama nimekukwaza kwa namna moja au nyingine.
 
Kwa Mgogoro huu wa Israel na Palestina, Wkristo wengi wanakuwa upande wa Israel kwa sababu Biblia inaeleza Tangu Mwanzo namna Mungu alivyowapa hiyo nchi Waisraeli,Kwa hiyo Mgogoro huo unakuwa ni jambo la kiimani sana. Pia katika Biblia imeandikwa anayemlaani Israeli atalaaniwa, na anayembaliki , naye atabalikiwa.
Sasa hapa ndio tatizo linapoanzia,,Ndio maana makanisa mengi ya kilokole walifurahi sana pale Magufuli alipofungua ubalozi wa Tanzania Israeli,..Na ukiangalia pia wengi sasa wameanza kuamini katika ushirikiano wenye maslahi siyo maneno matupu. I support you, i receive material gain, siyo kupata thawabu,,Taifa liangalie maslahi yake,,enzi za Nyerere za kujigamba na kujifanya unatetea tu,,ndio zimetufikisha hapa. Palestina has nothing to offer in return,,Tumeshamsupport Miaka mingi lakini hatujafanikiwa,,na hatuna uwezo wa kufanikiwa,,kwani Tanzania hatuna nguvu hizo,,,Sisi tubaki neutral,tuwaache wao mgogoro wao wapambane nao,,Matatizo ya kiuchumi tuliyonayo yanatutosha.
 
Back
Top Bottom