Je, Serikali ya Tanzania ni Mbia wa Kampuni ya Taifa Group?

Hayo makubaliano ni internal affairs za kampuni husika Rais wa nchi hana nafasi katika internal afairs za private company.
Internal affairs unamaanisha nini?
Huyu mwekezaji,atawekeza katika nchi ya Tanzania.Tanzania Investment Center taasisi ya serikali inamhusu.
Pili atapewa au atakodi ardhi ya kulima na Ardhi ni mali ya Raisi.
Kazi ya serikali hapo ni facilitator.
 
Hao ni wana msichokielewa ni nini!? Michakato ni ile ile tu ukiwa raisi unakula na ma Papa wa biasharani kwa kusaini nao mikataba ya ubia kwenye kampuni mpya zinazoanzishwa au kuendelezwa.

Lazma ujitokeze kupongeza harakati kwenye hafla mbali mbali.
 
Internal affairs unamaanisha nini?
Huyu mwekezaji,atawekeza katika nchi ya Tanzania.Tanzania Investment Center taasisi ya serikali inamhusu.
Pili atapewa au atakodi ardhi ya kulima na Ardhi ni mali ya Raisi.
Kazi ya serikali hapo ni facilitator.
Kama ni muwekezaji alipaswa kuwasiliana na Tic na kupata njia sahihi kuja kuwekeza.

Ishu za kuingia ubia na Taifa group sio za taifa letu hadi mkuu wa nchi awepo hapo..

Ardhi sio mali ya rais. Ni mali ya umma rais ni msimamizi tu.

Kama serikali ilitakiwa kufacilitate hata ubalozi wa Tz Usa anatosha.
 
Siku ya tarehe 23 Aprili, 2022 Rais samia alishiriki utiaji saini wa makubaliano ya kibiashara baina ya kampuni ya Taifa Group na kampuni ya Northern feed co.

Mkataba huo wenye thamani ya Dola milioni 500 sawa na trilioni moja za kitanzania utakua katika uzalishaji wa soya, ngano , sukari etc.

Anayeonekana kusaini makubaliano hayo ni Bwn. Rostam Aziz ambaye ndiye mmiliki wa Kampuni hiyo.

Bwn. Rostam Aziz ambaye ndiye mmiliki wa kampuni ya Taifa Gas alikuwepo pia katika delegation ya Rais iliyokwenda Kenya na kuingia makubaliano ya kuisambazia Kenya Gesi.

Kwakua Bwn. Aziz sio sehemu ya Serikali utiliwaji saini wa makubaliano hayo ni jambo binafsi zaidi kuliko la kisiasa.

Uwepo wa Rais ambaye ni nembo ya mamlaka ya Nchi katika jambo binafsi unaleta ukakasi kidogo kwani sisi wananchi hatuna taarifa zozote za umiliki wowote wa serikali iwe kwa hisa au kwa namna yeyote katika kampuni hiyo.

Hivyo basi kama Tanzania ina shares katika kampuni ya Taifa Group ni vyema tukaambiwa ama la tueleweshwe kuhusiana na uwepo wa kampuni hii katika ziara za Rais na ulazima wa Taifa kuhusishwa katika mambo binafsi ya kampuni hii.

View attachment 2199343

Kaka Mwekezaji lazima apate support ya serikali, na uwepo wake huko na Rais ni moja ya mafanikio ya ziara, serikali kumpa full support ina maana uwekezaji huo unakuja kuinufaisha nchi kwa fedha za kigeni, Ajira kwa watu, makusanyo ya kodi na tozo nyingine na kukuza uchumi kwa ujumla. so kwa kifupi waweza sema serikali ni mbia maana ni mnufaika mkubwa wa sekta binafsi
 
Wewe tuambie ni nchi gani duniani imeachia kila kitu kwa sekta binafsi na kubaki kukusanya kodi?
Nyie ndio mnadanganywa na wajanja wa kizungu.
Za kuambiwa, changanya na zako.
Wakati wa ziara za maRais akiwemo wa Marekani huwa anaenda na LUNDO la Wafanyabiashara kufanya nini?
 
Siku ya tarehe 23 Aprili, 2022 Rais samia alishiriki utiaji saini wa makubaliano ya kibiashara baina ya kampuni ya Taifa Group na kampuni ya Northern feed co.

Mkataba huo wenye thamani ya Dola milioni 500 sawa na trilioni moja za kitanzania utakua katika uzalishaji wa soya, ngano , sukari etc.
Huo mkataba wa pesa nyingi unahitaji mtu high level sana kuridhisha upande wa pili kama mnaamini kuwa huyo mtanzania wanayeingia naye mkataba ni mtu anaeleweka kuwa huo uwezo anao

Ni sawa na mtanzania uingie biashara mfano ya kupeleka kuku milioni moja kila siku mahoteli ya Ulaya utahitaji wadhanini wazito mno kama mabenki ya kimataifa sio local kukudhamini na kutia sahihi kuwa hiyo biashara wewe uwezo unao na wanakufahamu kabla kuanza hiyo biashara.President kusaini ni moja kuwahakikishia hao wawekezaji kuwa Rostam Aziz ni mganyabiashara capable na kampuni yake wasiwe na wasiwasi Naye.Na kweli uwezo anao .Anajulika na Serikali na Raisi mwenyewe inawajengea confidence wawekezaji wanaoingia Naye ubia

Watanzania tujitahidi kumwiga Rostam Azizi kwenye biashara kiasi cha kufika level ya hata Raisi kuwa na confidence naye

waswahil ujanja ujanja tu hausaidii na utapeli utapeli mtu utaishia tu kutoaminiwa ndani na nje hata mimi akiniita.mswahili January janja nije kusaini kama mndhamini au kama mtu ninayekujua mkataba wako wa kibiashara kwanza nitakuporomoshea matusi ya nguoni kabla ya kukwambia sitaki utapeli mkubwa wewe

Kuna levels za udhamini kwenye biashara

Hapo Raisi yuko sahihi.Pia hicho kilimo ni kikubwa ni ma etates makubwa .Ardhi ni mali ya Serikali inahitaji commitment ya Serikali kwenye hiyo ardhi siyo huyo mwekezaji akija unaanza uswahili ohhh kilienda kilirudi kuhusu Ardhi unayotaka sijui kimeenda kimerudi!! Raisi hapo sahihi yake inaweka assurance ya upatikanaji Ardhi hapo ya hicho kilimo kikubwa .
Sioni tatizo
 
Wakati wa ziara za maRais akiwemo wa Marekani huwa anaenda na LUNDO la Wafanyabiashara kufanya nini?
Kutafuta wawekezaji wa ubia ns kampuni za ndani na kutafuta masoko ya bidhaa zinaxozalishwa na kampuni za ndani.

Wafanyabiashara wanakutana na wenzao ulitaka aende na viofisa vya Serikali vitupu ambavyo havijui hata biashara ni nini?
 
Rais sio mamlaka ya kuendorse uwezo wa kampuni kutekeleza majukumu yake ya kimkataba.

Jukumu la kuhakikisha kama unayeingia nae kwenye mkataba anauwezo huo ni la mshiriki wa mkataba huo.

Unachokisema wewe ni Rais ku assume majukumu ya Guarantor ambayo sio majukumu yake maana hiyo ni private company unless yeye ana shares au serikali ina shares.

Kuna red flags kila mahali kuhusiana na hili.
 
Unanijibu Mimi?
 
target za 2025 hizo hangaya anajisogeza kwa kingmaker kinara aliepewa kazi ya kuhakikisha nani anakuwa rais tanzania katika kila uchaguzi. msiwabeze wanaosema nchi ishauzwa hii.
Hakuna mbuzi na hajawahi tokea..wa kuchagua rais kwa mkono wake nchi hii
 
Nashukuru kwa kunielewa mkuu.

Wapo wachache wanaoelewa ila wanapotosha kwa makusudi.

Na wapo wasioelewa kuwa wanapotosha kwa kutokuelewa kwao.

Nafahamu hilo tunakwenda nao hivyo mdogo mdogo tu, ukweli utakuwa wazi sio mbali sana.
Simba na yanga huwa wanamwita rais kwenye shughuli zao pale kwa mkapa
 
Sio ajabu kwa Rais kushuhudia ubia wa biashara kati ya kampuni binafsi kutoka nchini kwake na kampuni nyingine ya nje.
Rais sio katibu mkuu kiongozi, sio katibu mkuu wa wizara, sio mkurugenzi wa shirika la umma. Ni Rais wa nchi.
Ungetusadia mifano ingetuondolea ujinga na kuwa waelevu
 
Rais sio mamlaka ya kuendorse uwezo wa kampuni kutekeleza majukumu yake ya kimkataba.

Jukumu la kuhakikisha kama unayeingia nae kwenye mkataba anauwezo huo ni la mshiriki wa mkataba huo.

Unachokisema wewe ni Rais ku assume majukumu ya Guarantor ambayo sio majukumu yake maana hiyo ni private company unless yeye ana shares au serikali ina shares.

Kuna red flags kila mahali kuhusiana na hili.
Acha kuishi kwa dhana na wasiwasi...kwenye dunia ya kibepari,serikali ni kuwadi wa kampuni za nchi yake
 
Back
Top Bottom