Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Kwa ngazi kubwa za kiuongozi kuanzia uwaziri, urais , mfalme nk lazima awe na mwenza ili aweze kukalia kiti hicho, kwa mtu ambaye hajaoa wala kuolewa haruhusiwi kugombea au kushikiria kiti mpaka pale atakapokamilisha suala la ndoa.
Sasa vipi kwa huyu ambaye amefiwa na mwenzi wake , je sheria ina mshurutisha/ inamtaka kuwa na mwenza ili aendelee kukalia kiti hicho au onabidi apumzishwe?
Sasa vipi kwa huyu ambaye amefiwa na mwenzi wake , je sheria ina mshurutisha/ inamtaka kuwa na mwenza ili aendelee kukalia kiti hicho au onabidi apumzishwe?