Uchaguzi 2020 Je, sheria inaruhusu Mgombea Urais wa JMT Tundu Lissu kumpigia kampeni mgombea urais Zanzibar, Maalim Seif?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Nafahamu kwamba sheria hairuhusu mgombea urais wa JMT mh Membe kumpigia kampeni mgombea urais wa JMT mh Tundu Lissu

Hali ikoje pale Maalim Seif wa Zanzibar anapopanda jukwaa la CHADEMA na kumpigia kampeni Tundu Lissu?

Au Tundu Lissu kumpigia kampeni Maalim Seif?

Maendeleo hayana vyama!
 
Uzuri ni kwamba Lissu akishashinda akatangazwa, CCM hamtakuwa na uwezo wa kupinga matokeo mahakamani. Kwa hiyo akiamua kuvunja sheria zozote za uchaguzi, mna wakati huu tu wa kumzuia.

Tuliwaaambia kwa miaka mingi mbadili sheria ili matokeo ya Urais yaweze kupingwa mkakataa, sasa inaenda kula kwenu!
 
Hakuna sheria na Tundu Lissu ni mtu mwenye akili nyingi sn kuzidi maccm yote yakiwekwa pamoja akiwemo mzee wa phd feki
waliomfundisha Lissu na wanaoendelea kumfundisha ni CCM utasemajee CCM haina maaanaa
 
Nafahamu kwamba sheria hairuhusu mgombea urais wa JMT mh Membe kumpigia kampeni mgombea urais wa JMT mh Tundu Lissu

Hali ikoje pale Maalim Seif wa Zanzibar anapopanda jukwaa la CHADEMA na kumpigia kampeni Tundu Lissu?

Au Tundu Lissu kumpigia kampeni Maalim Seif?

Maendeleo hayana vyama!
Umeshasema maedndeleo hayana vyama sasa unataka nini. Hiki kizazi cha siku hizi hovyo kbs.
 
Mbona magu alimpigia Mwinyi kampeni Zanzibar? Au mbona akina Mrema na cheyo wanampigia magu kampeni?
 
Back
Top Bottom