Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uelewa mdogo sana ,jibu swali acha mbwembweAlikuambia ananijua?
We umeniuliza namkumbuka, ndiyo nikakuuliza kwani yeye alikuambia ananijua. Mimi siwezi kumkumbuka mtu sikumbuki kama tulionana.Uelewa mdogo sana ,jibu swali acha mbwembwe
Washirikina hoi!Maalim kawalatea Chadema majini ya kuiba kura za CCM bara.
"Maalim shindwa na ulegee kwa jina la Yesu"
Siku ukikua utaachaWe umeniuliza namkumbuka, ndiyo nikakuuliza kwani yeye alikuambia ananijua. Mimi siwezi kumkumbuka mtu sikumbuki kama tulionana.
Magufuli hafuatagi sheria... Anajiamulia tu kutokana na utashi wake.Yaani Sheria zinazopitishwa na mibunge mizuzu ya CCM ni hopeless kabisa.
Yaani Magufuli ni ruksa kumnadi Mwinyi, ila Lissu haruhusiwi.
We mbwa ccm inawafundisha wale kina kheri james na musiba namna ya kuua watu lkn sio maarifa.......waliomfundisha Lissu na wanaoendelea kumfundisha ni CCM utasemajee CCM haina maaanaa