johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nimekuelewa bwashee!Seif yupo katika uchaguzi unaosimamiwa na ZEC hivyo sheria za NEC hazimhusu.
Ndo maana kule ZEC amepewa adhabu ya kutofanya kampeni siku tano lakini yuko Moshi akimnadi Lissu kwani ZEC na NEC kila moja ina uwanja wake wa urefarii.Nimekuelewa bwashee!
Hahahaaaa....... nauliza tu bwashee!Hahahahahaha......bwashe naona dalili ya fitna kwa mbali. Ni ushari kabisa
Subiri mahera apeleke baruaHilo siyo jawabu!
Uzuri ni kwamba Lissu akishashinda akatangazwa, CCM hamtakuwa na uwezo wa kupinga matokeo mahakamani. Kwa hiyo akiamua kuvunja sheria zozote za uchaguzi, mna wakati huu tu wa kumzuia.Nafahamu kwamba sheria hairuhusu mgombea urais wa JMT mh Membe kumpigia kampeni mgombea urais wa JMT mh Tundu Lissu
Hali ikoje pale Maalim Seif wa Zanzibar anapopanda jukwaa la CHADEMA na kumpigia kampeni Tundu Lissu?
Au Tundu Lissu kumpigia kampeni Maalim Seif?
Maendeleo hayana vyama!
waliomfundisha Lissu na wanaoendelea kumfundisha ni CCM utasemajee CCM haina maaanaaHakuna sheria na Tundu Lissu ni mtu mwenye akili nyingi sn kuzidi maccm yote yakiwekwa pamoja akiwemo mzee wa phd feki
Dr Magufuli na Dr Mwinyi wako chama kimoja.Yaani Sheria zinazopitishwa na mibunge mizuzu ya CCM ni hopeless kabisa.
Yaani Magufuli ni ruksa kumnadi Mwinyi, ila Lissu haruhusiwi.
Unamkumbuka Dikteta Yahya Jameh?Naona uchaguzi wa Gambia, chama tawala kimeshinda
Lissu haruhusiwi nn? Mbona unalinganisha vitu haviendani? Shule wapi broo? St. Kayumba nn?Yaani Sheria zinazopitishwa na mibunge mizuzu ya CCM ni hopeless kabisa.
Yaani Magufuli ni ruksa kumnadi Mwinyi, ila Lissu haruhusiwi.
Alikuambia ananijua?Unamkumbuka Dikteta Yahya Jameh?
Bwashee hii kazi ccm waliokupa sio size yako.Bwashee kuuliza siyo ujinga!
Hapana sio St. Kayumba, nimesoma viduduLissu haruhusiwi nn? Mbona unalinganisha vitu haviendani? Shule wapi broo? St. Kayumba nn?
Umeshasema maedndeleo hayana vyama sasa unataka nini. Hiki kizazi cha siku hizi hovyo kbs.Nafahamu kwamba sheria hairuhusu mgombea urais wa JMT mh Membe kumpigia kampeni mgombea urais wa JMT mh Tundu Lissu
Hali ikoje pale Maalim Seif wa Zanzibar anapopanda jukwaa la CHADEMA na kumpigia kampeni Tundu Lissu?
Au Tundu Lissu kumpigia kampeni Maalim Seif?
Maendeleo hayana vyama!