Uchaguzi 2020 Je, sheria inaruhusu Mgombea Urais wa JMT Tundu Lissu kumpigia kampeni mgombea urais Zanzibar, Maalim Seif?

..Sheria inaruhusu.

..Ndiyo maana Tundu Lissu alipokwenda Znz, alimpigia kampeni Maalim Seif.
 
waliomfundisha Lissu na wanaoendelea kumfundisha ni CCM utasemajee CCM haina maaanaa
We mbwa ccm inawafundisha wale kina kheri james na musiba namna ya kuua watu lkn sio maarifa.......

Hakuna sheria na Tundu Lissu ni mtu mwenye akili nyingi sn kuzidi maccm yote yakiwekwa pamoja akiwemo mzee wa phd feki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…