Zanzibar 2020 Je, sheria kweli ni msumeno? Dkt. Mwinyi awataka Wazanzibari wajitokeze wengi wakampigie kura za ndio tarehe 27 Oktoba

Zanzibar 2020 Je, sheria kweli ni msumeno? Dkt. Mwinyi awataka Wazanzibari wajitokeze wengi wakampigie kura za ndio tarehe 27 Oktoba

torosi

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2020
Posts
862
Reaction score
1,430
Wapwa

Dr Mwinyi amewataka Wazanzibari wajitokeze kwa wingi kumpigia kura za ndio tarehe 27 October, ikumbukwe Mgombea wa ACT Maalim Seif aliwambia Wazanzibari wajitokeze tarehe hiyo hiyo 27 akapigwa nyundo na ZEC siku 5.

Tunatega sikio kusikia kauli ya ZEC ya kumuita na kumpiga nyundo ya siku 5 mgombea uraisi wa CCM zanzibar sababu sheria kweli ni msumeno.

Haki huinua taifa
 
Hivi kuna watu kweli wakikaa wanaamini kwa dhati ya mioyo yao kuwa Seif atapata kura nyingi kuliko Hussein Mwinyi?

Daaah kweli kuna watu wanapenda kuishi kwa matumaini hewa
 
Hivi kuna watu kweli wakikaa wanaamini kwa dhati ya mioyo yao kuwa Seif atapata kura nyingi kuliko Hussein Mwinyi?

Daaah kweli kuna watu wanapenda kuishi kwa matumaini hewa
Mzee lea wajukuu, Mwinyi ndiye mgombea dhaifu tangu mfumo wa vyama vingi uanze kwa upande wa CCM

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Hata angesimamishwa Mtoto wako Znz nakwambia angechaguliwa kuwa Rais wa Znz

Unadhan Mwinyi ni dhaifu kuliko Shein?

Shein ndie Mgombea asie na Mizizi wala base pale Kisiwandui lakin bado alipiganiwa awamu zote mbili

Hussein Mwinyi mbali ya Chama familia yake pekee hasa Umamani kwake ni wana kindaki ndaki kweli Unguja, hapo sijaongelea Kaka zake kina Hassan na Abbas

Mwinyi atapiganiwa kuliko Dr Shein, tuombe uhai tu
Mzee lea wajukuu, Mwinyi ndiye mgombea dhaifu tangu mfumo wa vyama vingi uanze kwa upande wa ccm

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Uchaguzi huanza wakati wa kuhesabu kura, na unamalizika yakitangazwa Matokeo~Kinana

Hata Mkiwapigia 'hao wengine' sie ndio tutaunda Serikali~Samia Suluhu
Mbona chaguzi zote seif hua anashinda sema ccm huwa wanaleta figisu figisu tu, hilo lipo uchi kabisa bila kupepesa seif atapata kura nyingi
 
Hussein Kazaliwa Znz, Mama Yake Mzazi na Bibi na Babu zake wote wamezaliwa Znz

Baba Yake Mzazi yupo Znz tangu 1928 eti anaitwa Mtanganyika

Lakin Kina Jusa na Seif Sharif kizazi cha kiarabu wanaitwa wa Znz

Akili muflisi
Mtanganyika anaruhusiwa kuongoza Zanzibar?!
 
Hivi kuna watu kweli wakikaa wanaamini kwa dhati ya mioyo yao kuwa Seif atapata kura nyingi kuliko Hussein Mwinyi?
Daaah kweli kuna watu wanapenda kuishi kwa matumaini hewa
Mimi kinachonisumbua ni hiki...tazameni hizo nyuso, je hii ni kamapeni au ni huu ni msiba?

CCM kilio.jpg

Sasa linganisha na hii...

ACT kampeni.jpg
 
Yaan a yeye yuko kama Membe, hajui aongee nini utadhan anataka kulia
Nitashangaa sana Wazanzibar wakimchagua.
Huyo hajui chochote.
Nilikuwa yuko kimya wizara ya ulinzi sababu hainaga mbwembwe kumbe hajui chochote...poor

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom