Zanzibar 2020 Je, sheria kweli ni msumeno? Dkt. Mwinyi awataka Wazanzibari wajitokeze wengi wakampigie kura za ndio tarehe 27 Oktoba

Zanzibar 2020 Je, sheria kweli ni msumeno? Dkt. Mwinyi awataka Wazanzibari wajitokeze wengi wakampigie kura za ndio tarehe 27 Oktoba

Hivi kuna watu kweli wakikaa wanaamini kwa dhati ya mioyo yao kuwa Seif atapata kura nyingi kuliko Hussein Mwinyi?

Daaah kweli kuna watu wanapenda kuishi kwa matumaini hewa

Ndio tupo wengi sana, na sio kweli kuwa tunaishi kwa matumaini hewa. Tunaamini kabisa kama kura nyingi zitakwenda kwa Seif, ila wengi wetu tunajua kuwa Seif hatopewa urais, tunajua goli la kisigino lishafungwa zamani tu!
 
1603444706788.png
 
Usijitoe ufahamu

Soma mpaka mwisho uelewe, Maalim Seif aliwambia Wazanzibari wakapige kura 27 akafungiwa siku tano 5 na kuambiwa mchochezi, maneno hayohayo Mwinyi kayatamka kwenye kideo hapo juu.
Kadandia treni kwa mbele
 
Back
Top Bottom