mtanzania in exile
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 1,379
- 1,276
Hivi kuna watu kweli wakikaa wanaamini kwa dhati ya mioyo yao kuwa Seif atapata kura nyingi kuliko Hussein Mwinyi?
Daaah kweli kuna watu wanapenda kuishi kwa matumaini hewa
Ndio tupo wengi sana, na sio kweli kuwa tunaishi kwa matumaini hewa. Tunaamini kabisa kama kura nyingi zitakwenda kwa Seif, ila wengi wetu tunajua kuwa Seif hatopewa urais, tunajua goli la kisigino lishafungwa zamani tu!