Kwa haki au hujuma?
Mzee lea wajukuu, Mwinyi ndiye mgombea dhaifu tangu mfumo wa vyama vingi uanze kwa upande wa CCMHivi kuna watu kweli wakikaa wanaamini kwa dhati ya mioyo yao kuwa Seif atapata kura nyingi kuliko Hussein Mwinyi?
Daaah kweli kuna watu wanapenda kuishi kwa matumaini hewa
Mbona chaguzi zote seif hua anashinda sema ccm huwa wanaleta figisu figisu tu, hilo lipo uchi kabisa bila kupepesa seif atapata kura nyingiHivi kuna watu kweli wakikaa wanaamini kwa dhati ya mioyo yao kuwa Seif atapata kura nyingi kuliko Hussein Mwinyi?
Daaah kweli kuna watu wanapenda kuishi kwa matumaini hewa
Mwinyi ni pandikizi la CCM kutoka bara la kulinda muungano huko Zanzibar wala halina maslahi na wananchi wa ZanzibarWazanzibari wameamua kusafiri na mwinyi
Mzee lea wajukuu, Mwinyi ndiye mgombea dhaifu tangu mfumo wa vyama vingi uanze kwa upande wa ccm
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Wazanzibari wameamua kusafiri na mwinyi
Mbona chaguzi zote seif hua anashinda sema ccm huwa wanaleta figisu figisu tu, hilo lipo uchi kabisa bila kupepesa seif atapata kura nyingi
Mtanganyika anaruhusiwa kuongoza Zanzibar?!
Yaan a yeye yuko kama Membe, hajui aongee nini utadhan anataka kuliaMzee lea wajukuu, Mwinyi ndiye mgombea dhaifu tangu mfumo wa vyama vingi uanze kwa upande wa ccm
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Mimi kinachonisumbua ni hiki...tazameni hizo nyuso, je hii ni kamapeni au ni huu ni msiba?Hivi kuna watu kweli wakikaa wanaamini kwa dhati ya mioyo yao kuwa Seif atapata kura nyingi kuliko Hussein Mwinyi?
Daaah kweli kuna watu wanapenda kuishi kwa matumaini hewa
Nitashangaa sana Wazanzibar wakimchagua.Yaan a yeye yuko kama Membe, hajui aongee nini utadhan anataka kulia
Ni mtaali kama wale waliotoka Oman na kujichukulia visiwa.Mwinyi ni pandikizi la CCM kutoka bara la kulinda muungano huko Zanzibar wala halina maslahi na wananchi wa Zanzibar
Uzi unasema Maalim alisema watu wapiga kura tarehe 27 akaadhibiwaHivi kuna watu kweli wakikaa wanaamini kwa dhati ya mioyo yao kuwa Seif atapata kura nyingi kuliko Hussein Mwinyi?
Daaah kweli kuna watu wanapenda kuishi kwa matumaini hewa
Out of point, kumbe na we mzee akili huna.Hivi kuna watu kweli wakikaa wanaamini kwa dhati ya mioyo yao kuwa Seif atapata kura nyingi kuliko Hussein Mwinyi?
Daaah kweli kuna watu wanapenda kuishi kwa matumaini hewa