Ndio tupo wengi sana, na sio kweli kuwa tunaishi kwa matumaini hewa. Tunaamini kabisa kama kura nyingi zitakwenda kwa Seif, ila wengi wetu tunajua kuwa Seif hatopewa urais, tunajua goli la kisigino lishafungwa zamani tu!
Soma mpaka mwisho uelewe, Maalim Seif aliwambia Wazanzibari wakapige kura 27 akafungiwa siku tano 5 na kuambiwa mchochezi, maneno hayohayo Mwinyi kayatamka kwenye kideo hapo juu.