FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,956
- 47,046
Haina shida unaweza kujua na ikakusababisha ujae kiburi na kupewa talakaHakyamungu sijui sheria ya ndoa hata moja, na niko kwenye ndoa.
๐ ๐ ๐ ๐ aisee, mi ni Mume.Haina shida unaweza kujua na ikakusababisha ujae kiburi na kupewa talaka
USSR
Sheria zinazohusu ndoa na mahusiano zinamkandamiza mwanaume, mambo kama child support na kugawana mali ni utapeli wa mchana kweupe kabisa. Mzazi anaeishi na mtoto ndio awajibike kubeba gharama zote za malezi ukiona hauna uwezo wa kumlea mtoto mpeleke akaishi kwa baba yake na suala la mgawanyiko wa mali baada ya talaka kila mmoja achukue alichokitolea jashoLeo kuna mtu ameniuliza, kwamba sheria za ndoa nchini Tanzania zilitungwa na bunge la ngapi na mwaka gani, na katika bunge hilo kulikuwa na wanaume? Au lilikuwa ni shinikizo la kupata misaada toka nje ya nchi hivyo watu wakafumba macho tu na kupitisha hizo sheria?
Huwezi ukawa na sheria inayobadili kichwa kuwa miguu na miguu kuwa kichwa, yaani kichwa cha familia kinasema twende mbele halafu miguu inakataa, inasema twende kulia.., huko si ni kuharibu mfumo wa familia kabisa?! Hakuna hierachy, hakuna tena kujishusha, na hii ni kwa sababu kuna sheria inamlinda, ajishushe kwanini wakati Beijing ina mkingia kifua?!
Wake wa zamani waliita waume zao baba, na walipiga magoti kisawasawa katika kuomba au kushauri jambo, sasa hivi wanawake wanatoa amri! Na ukibishana nae sana kesho unajikuta mahakamani, na mali zako zote unafilisiwa! Hamna huruma nyie watu?!
Hakyamungu sijui sheria ya ndoa hata moja, na niko kwenye ndoa.
Hao wanaume walioshiriki kupitisha watafutwe na kutandikwa mijeledi hadharani kama bado wapo haiMwaka 1971 na mabadiliko ya hapa na pale ,ikilipiwa kutoka kwa wakoloni
USSR
Kibaya zaidi kuna ile wanaita โAlimonyโ sijui, yaani mwanaume unageuzwa mfuko wa pensheni kwa kumlipa mtalaka wako pensheni ya kila mwezi hadi kifo, hata kama kaolewa na mume mwingineSheria zinazohusu ndoa na mahusiano zinamkandamiza mwanaume, mambo kama child support na kugawana mali ni utapeli wa mchana kweupe kabisa. Mzazi anaeishi na mtoto ndio awajibike kubeba gharama zote za malezi ukiona hauna uwezo wa kumlea mtoto mpeleke akaishi kwa baba yake na suala la mgawanyiko wa mali baada ya talaka kila mmoja achukue alichokitolea jasho