PAGAN
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 12,181
- 20,148
Asalaam wadau!
Nimenunua shamba mkoa wa Pwani, nje kidogo ya Mkuranga. Lengo kuu ni kumuweka Bi. Mkubwa wangu kwasababu maisha ya Dar es Salaam yamekuwa busy sana kwa mtu mzima kama yeye.
Sasa nataka kujenga nyumba yenye nafasi hata watoto wangu wakienda kumtembelea bibi wasibanane. Na yeye maisha yake yote ni ya mjini kwa hivyo ni lazima iwe yenye mazingira ya kuvutia kidogo.
Kwa sasa bajeti yangu ni shilingi milioni kumi tu. Swali, je hii pesa inatosha kujenga japo nyumba ndogo huko kijijini? Au ni nyumba ya aina gani inaweza kutosha kwa pesa hii?
Natanguliza shukrani.