Mbowe ni mfanya biashara. Na hata issue ya wabunge 19 alipewa rushwa na CCM lakin akajifanya hawajui wakina mdee et al. Sasa muda umeisha anataka warudi business as usual.Huwezi ukawa serious unataka mabadiliko Utapokea Rushwa toka chama tawala
Huwezi kuwa serious unahubiri mabadiliko ukapokea maelekezo toka chama tawala nani agombeee na Nani asigombee,
Huwezi kuwa serious kabisa unataka mabadiliko ukapokea maelekezo ni lini udai haki zako wakati ni haki inatakiwa kudaiwa muda wowote
Narudia watanzania mabadiliko yatakuja Ila si kwa vyama vyenye damu ya chama tawala
Na itachukua almost 30 more years kupata mabadiliko ya kweli
Britanicca
Mbowe alianza kula rushwa wakati wa Lowasa. Na sasa wakati huu. Lissu asijitoe na kusema kuwa wamekula rushwa wenzake mbona wakati wa Lowasa, Lissu pia, alizipokea pesa, za Lowasa? Kwann kwa sasa anazikana?
CDM wote ni wala rushwa. Lissu amezikataa baada, ya kuona Mbowe amepewa nyingi sana.