Je, siasa ni biashara kwa baadhi ya wapinzani?

Naunga mkono hoja
 
Nyerere alisema yeye kuna mabaya aliyo kosea ila anashangaa kwanini yale mabaya yanaendelezwa na yale mazuri aliyo tenda yana achwa ...kuhusu kazi wewe tatizo lako ni akili zako mtu akulazimishwa kuwa mwalimu ukiona fursa iliyo bora hakuna anaye kuzuia kufuata hiyo fursa .... walimu mngekuwa na akili basi mgeitaka serikali ilipe mishahara kwa kuzingatia ufanisi wa shule mnazo fundisha ..ila najua mnaogopa kwa sababu ni walimu wabovu mnao penda mishahara kuliko kazi.
 
Kwa kifupi akili ni nywele kila mtu ana zake.
Mh Heche aliyekuwa mbunge kutoka mkoa wa mara aliwachana chana wabunge kwanini mnataka vijana wajiajiri wakati ninyi miaka hata 20 mnagombania kuajiriwa na bunge?
Kwa kifupi most politicians are typical liars.Sababu ya maslahi.
 
Jinsi jeshi la polisi linavyojiingiza kwenye siasa na kusababisha taharuki itatokea mapema kuliko tunavyotegemea.
Naam, ila Polisi hawajitambui wanapaswa kuwa neutral pale raia wanapo practice civil rights zao.
Opossition wanapodai maisha Bora, including maslahi ya polisi.

Ninaamini WE SHALL OVERCOME siku moja.

Furaha yangu pia kuona ndani ya Chama DOLA maji Yako timbwili timbwili 😅😅
rise and fall of Roman empire
 
FAM Kila mwezi nasikia anapokea Bahasha iliyonona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…