Je, sifa anazopewa Kafulila zina ukweli wowote?

Acheni propaganda, bilioni tatu angelipwa na nani na kwasababu gani? Zile zilikuwa mbwbwe za kisiasa kipindi kile.
Haya maneno niliyasikia kwa Mzee Olesendeka hebu mtafute ujiridhishe kabla ya kukataa
 
Sawa Kafulila unajiuliza na kujijibu. Ila hiki unachofanya ni utoto na unajichoresha. Muulize Mwigulu aliyekuwa anajinadi kwenye mawe.
Mbona unabifu sana Kafulila aliwahi kukutafunia ama namna gani?
 
Shida ni pale Kafulila anapo fungua nyuzi zaidi ya moja kujipa promo .
Sasa Mimi ni Kafulila?

Unanipangia nifungue nyuzi muda gani?
Au hili jukwaa ni mali ya CHADEMA?
Nani kakwambia Kafulila anaakaunti hapa Jf?
Wewe siungekuja na tuhuma za wizi au ufisadi wa Kafulila badala ya kuanza kurukaruka kama maharagwe?
 
Ngoja tuone
 
Chawa wake mmeamua kuja kivingine, karibuni
 
Hiyo ya 7 inaumiza sana pale unapopata mwanamke anataka na wewe ule rushwa na ujenge majumba na ununue magari kama wengine,Uibe kama watu wengi,ila maokoto yawepo ya kutosha kwenye akaunti. Ila asikate tamaa aendelee na msimamo huo huo.
 
Watanzania wazalendo wanafahamu uzalendo, uadilifu na Uchapakazi alio nao Mheshimiwa David Kafulila.wanatambua ya kuwa ni hazina kwa Taifa letu na mtu wa kuaminika na kuaminiwa .
Hata kama ndio ukatae 3bn wakati ndg zako wote masikini wa kutupwa bahati huwa haijirudii Kuna siku atajutia
 
Hata kama ndio ukatae 3bn wakati ndg zako wote masikini wa kutupwa bahati huwa haijirudii Kuna siku atajutia
Mheshimiwa David Kafulila ni mzalendo kama alivyokuwa Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Nyerere,ambaye alipigania Taifa letu kwa maslahi ya watu wote
 
Sasa itamfaa nini wakati system nzima watu wapigaji tu watu wamekuwa mabilioni kutoka humo humo serkalini
Mfumo unahitaji kuingizwa watu wasafi na waadilifu aina ya Mheshimiwa Kafulila ili kufanya kazi pamoja na Rais wetu mzalendo na mchapa kazi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…