Je, sifa anazopewa Kafulila zina ukweli wowote?

Kafulila anahangaika sana kuji promote

Mamlaka husika ziwe makini naye

Muda wa ukamishna ukiisha Raisi ampumzishe

Ni kama haridhiki na post aliyonayo na kufanyia kazi

Kutwa miyowe yake humu ndani

Ukamishna ukiisha muda

Mwacheni mtaani
Sasa unamwachaje mtu asiyekuibia hata mia?

Mtu ambaye ukimpatia 6bn ajenge Ofisi za Mkoa anakurudishia chenji ya 2bn, Huyu unamwachaje?

Mtu ambae anachukia rushwa na ufisadi kwa moyo na akili zake zote unamwachaje mtu kama huyu?

Kafulila deserves more than that,

Usitegemee Kafulila kuachwa kwenye Serikali ya Mzalendo Samia zaidi tegemea kuona mama akimpandisha zaidi ya hapo
 
Sasa unamwachaje mtu asiyekuibia hata mia?

Mtu ambaye ukimpatia 6bn ajenge Ofisi za Mkoa anakurudishia chanji ya 2bn, Huyu unamwachaje?

Mtu ambae anachukia rushwa na ufisadi kwa moyo na akili zake zote unamwachaje mtu kama huyu?

Kafulila deserves more than that,

So usitegemee Kafulila kuachwa kwenye Serikali ya Mzalendo Samia.
Duuu hongera sana, unayajua mambo mpaka ya ndani sana.

Wewe ni Jesca Kishoa au NYUMBA ndogo??
🤣😅
 
Kafulila ni mpuuzi flani tu, mwenye tamaa,ndo maana a anawatuma nyie wajinga kuja kufanya promotion.

Ni mtu wa kawaida sana ila mroho wa madaraka, asiyeridhika 🤔🤔😅😅
Kifupi nyuzi nyingi anaanzisha yeye Kwa ID tofauti tofauti
Mimi CCM lakini sipendi mtu kujipa promo acha mamlaka zimuone zenyewe utendaji kupitia system mtu atapanda tu hahitaji matangazo

Mtu kama Makonda,Slaa au Bashe na Mtaka hawahitaji chawa au wapiga debe

Kazi zao utendaji wao unawabeba Kila post wanayopewa popote
Hawaendi media yeyote kujikomba kutaka air time Bali media ndio huwafuata wenyewe na hata wasipoenda media wananchi wanawakubali bila hata coverage ya media kuwa mwenye macho haambiwi tizama anaona
Utendaji mzuri kukubalika na system na wananchi hakuhitaji kujipigia debe vinginevyo Magufuli asingekuwa Raisi
 
Duuu hongera sana, unayajua mambo mpaka ya ndani sana.

Wewe ni Jesca Kishoa au NYUMBA ndogo??
🤣😅
Hizi ni hypothesis za kawaida kabisa wewe bavicha naona uelewa kwako pia shida
 
Kifupi nyuzi nyingi anaanzisha yeye Kwa ID tofauti tofauti
Mimi CCM lakini sipendi mtu kujipa promo acha mamlaka zimuone zenyewe utendaji kupitia system mtu atapanda tu hahitaji matangazo

Mtu kama Makonda,Slaa au Bashe na Mtaka hawahitaji chawa au wapiga debe

Kazi zao utendaji wao unawabeba Kila post wanayopewa popote
Hawaendi media yeyote kujikomba kutaka air time Bali media ndio huwafuata wenyewe na hata wasipoenda media wananchi wanawakubali bila hata coverage ya media kuwa mwenye macho haambiwi tizama anaona
Very good analysis umefanya.

Nakuunga mkono kwa msemo ufuatao, "BIASHARA YA UTUMBO HAITAJI MATANGAZO" harufu na inzi vinatosha.

TUMBILI inabidi atulize MSHONO, ataonwa ,kama ana deserve!!!😎
 
Kifupi nyuzi nyingi anaanzisha yeye Kwa ID tofauti tofauti
Mimi CCM lakini sipendi mtu kujipa promo acha mamlaka zimuone zenyewe utendaji kupitia system mtu atapanda tu hahitaji matangazo

Mtu kama Makonda,Slaa au Bashe na Mtaka hawahitaji chawa au wapiga debe

Kazi zao utendaji wao unawabeba Kila post wanayopewa popote
Hawaendi media yeyote kujikomba kutaka air time Bali media ndio huwafuata wenyewe na hata wasipoenda media wananchi wanawakubali bila hata coverage ya media kuwa mwenye macho haambiwi tizama anaona
Utendaji mzuri kukubalika na system na wananchi hakuhitaji kujipigia debe vinginevyo Magufuli asingekuwa Raisi
Achana na mambo I'd,

Nadhani mgewakabili wafuasi wa Kafulila Kwa ku-counter hoja zao sio kuja na visingio mara I'd mara nyuzi ni nyingi,

Nadhani sisi tunamzungumzia Kafulila Kwa record zake za Uaminifu na Uadilifu tu,

Hao wote uliowataja ni watendaji na wananafasi za kuwatumikia Wananchi,

Sisi tunavutiwa zaidi na commitment ya Kafulila akiwa nje sio Mbunge,RC Wala Waziri ila record zake.

Inahitaji uwe na Moja wa kichaa ili kukataa 3bn za rushwa,

Inahitaji uwe ni mzalendo sana ili urudishe chenji ya 2bn ambayo tayari ilikuwa na BOQ yake.

HAPA LEO TUNAZUNGUMZI UADILIFU & UAMINIFU WA KAFULILA SIO UTENDAJI WA KAZI.
 
Achana na mambo I'd,

Nadhani mgewakabili wafuasi wa Kafulila Kwa ku-counter hoja zao sio kuja na visingio mara I'd mara nyuzi ni nyingi,

Nadhani sisi tunamzungumzia Kafulila Kwa record zake za Uaminifu na Uadilifu tu,

Hao wote uliowataja ni watendaji na wananafasi za kuwatumikia Wananchi,

Sisi tunavutiwa zaidi na commitment ya Kafulila akiwa nje sio Mbunge,RC Wala Waziri ila record zake.

Inahitaji uwe na Moja wa kichaa ili kukataa 3bn za rushwa,

Inahitaji uwe ni mzalendo sana ili urudishe chenji ya 2bn ambayo tayari ilikuwa na BOQ yake.
ID nying ni approach waliochagua kutumia usiwapangie, wanaanzia hapo na kuonesha malengo yaliyo nyuma yake
 
amani iwe kwenu,

Kwa wale wote mliowahi kuwa karibu na David Kafulila Kwa nyakati na sehemu tofauti tofauti nje na ndani ya siasa mtusaidie kujibu maswali haya,

1. Je, ni kweli kwamba huyu Kafulila anachukia rushwa kwa moyo na kwa nguvu zake zote kama tunavyoambiwa?

2. Je, ni kweli kwamba Kafulila hajawahi kupiga dili lolote la pesa tangu akiwa Mbunge, RAS, RC na sasa PPP-Center kama tunavyoambiwa?

3. Je, ni kweli kwamba Kafulila alikataa zaidi ya TZS 3bilioni za Escrow mwaka 2014 kama tunavyoambiwa?

4. Je, ni kweli kwamba Kafulila anachukia Ufisadi na Mafisadi toka ndani ya moyo wake kama tunavyoambiwa?

5. Je, ni kweli kwamba huyu jamaa hajawahi kuhusishwa na Kashfa za rushwa au ufisadi kipindi chote Cha utumishi wake Serikalini kama tunavyoambiwa?

6. Je, ni kweli kwamba Kafulila alirudisha chenji ya TZS 2bil kutoka katika TZS 6bil alizopewa kujenga Makao Makuu ya Mkoa wa Songwe kama tunavyoambiwa?

7. Je, ni kweli Kafulila alipoteza ndoa kwa sababu ya maisha duni anayoishi kama tunavyoambiwa?

Comment ziwe fupifupi
Wewe ambaye unashaka naye ndio ungejibu maswali hayo na kuweka ushahidi ya kwanini sifa anazopewa ni za uongo, kuanzia hapo basi ungeleta hoja yako hapo kwenye jukwaa kongwe la malumbano ya hoja kukerezwa ili upate ukweli pasipo chenga.

Sasa hivi ni umbeya tu ndio unakutuma au umetumwa na wezi wenzio kuhoji maadili yake ambayo inawezekana huyafahamu hivyo unategemea tanuru la fikra likusaidie kupata majibu sahihi.
 
Kifupi nyuzi nyingi anaanzisha yeye Kwa ID tofauti tofauti
Mimi CCM lakini sipendi mtu kujipa promo acha mamlaka zimuone zenyewe utendaji kupitia system mtu atapanda tu hahitaji matangazo

Mtu kama Makonda,Slaa au Bashe na Mtaka hawahitaji chawa au wapiga debe

Kazi zao utendaji wao unawabeba Kila post wanayopewa popote
Hawaendi media yeyote kujikomba kutaka air time Bali media ndio huwafuata wenyewe na hata wasipoenda media wananchi wanawakubali bila hata coverage ya media kuwa mwenye macho haambiwi tizama anaona
Utendaji mzuri kukubalika na system na wananchi hakuhitaji kujipigia debe vinginevyo Magufuli asingekuwa Raisi
Acha kabisa kumlinganisha Kafulila ni mzalendo sana hata kama hayuko kwenye utendaji ila rekodi zake ni nzuri sana
 
Wewe ambaye unashaka naye ndio ungejibu maswali hayo na kuweka ushahidi ya kwanini sifa anazopewa ni za uongo, kuanzia hapo basi ungeleta hoja yako hapo kwenye jukwaa kongwe la malumbano ya hoja kukerezwa ili upate ukweli pasipo chenga.

Sasa hivi ni umbeya tu ndio unakutuma au umetumwa na wezi wenzio kuhoji maadili yake ambayo inawezekana huyafahamu hivyo unategemea tanuru la fikra likusaidie kupata majibu sahihi.

Mimi ninamwani sana Kafulila Kwa namna anavyoelezwa humu Jf hata maeneo mabalimbali.

Ila hoja yangu nataka kuwa sure kama kuna sehemu labda jamaa alipiga dili kwa Siri ila ushahidi upo naamini kupitia hapa tutajua,

Hivyo Kila anayemfahamu basi atatusaidia ku-comment kibaya anachojua kuhusu Kafulila na kama ni kimya kama ilivyo sasa maana yake the man is real clean.

Mimi tayari nimejitmrisha ni kweli Kafulila ni mtu safi na anapashwa kuungwa mkono na wale wote wanaochukia wizi au ufisadi au matumizi mabaya ya fedha za umma.

Lakini sio Mimi tu hata wasomaji na wachangiaji wangu wataelewa na kuamini hivyo.

Submitted
 
huyu jamaa mshamba kweli
nani kamdanganya kuwa kulipa majobless washindane kumpandishia nyuzi humu kila baada ya nusu saa ndio kutampa cheo?
Ni aina fulani ya siasa ya CCM kipindi fulani, sidhani kama hadi sasa inafanya kazi.
 
Naona unaandika na kujijibu😂😂
Ila CHADEMA shida sana
Hivi unalipwa bei Gani?? Mpaka kujitoa utu wako na kujitoa UFAHAMU?? eti kisa TUMBILI 🤔😅🤣🤣🤣 mtaalamu wa kuruka ruka kwenye miti
 
Hivi alimaliza ile BBA yake ya evening pale udbs?maana miaka karibu 8 alikua anasotea first degree tu
Usippteze muda kwenye topics ambazo hazina tija na zaidi kuwaondoa kwenye focus ya kubishania vitu ambavyo havina msingi. Sifa za Kafulila sio degree wala masters, ameshavuka. Maana hizo degree na Masters wanazo wengi mtaani. Uwezo wa Kafulila ni zaidi Masters hizo. Hapimwi tena kwenye scale ya masters wala hata PhD hizi za mchongo. Tafuta PhD mwenye akili akae nae kwenye debate za kisomi utajua.

Tujike kuzungumzia Uaminifu na Uadilifu wake kwa Taifa
 
Mimi ninamwani sana Kafulila Kwa namna anavyoelezwa humu Jf hata maeneo mabalimbali.

Ila hoja yangu nataka kuwa sure kama kuna sehemu labda jamaa alipiga dili kwa Siri ila ushahidi upo naamini kupitia hapa tutajua,

Hivyo Kila anayemfahamu basi atatusaidia ku-comment kibaya anachojua kuhusu Kafulila na kama ni kimya kama ilivyo sasa maana yake the man is real clean.

Mimi tayari nimejitmrisha ni kweli Kafulila ni mtu safi na anapashwa kuungwa mkono na wale wote wanaochukia wizi au ufisadi au matumizi mabaya ya fedha za umma.

Lakini sio Mimi tu hata wasomaji na wachangiaji wangu wataelewa na kuamini hivyo.

Submitted
Ubaya kwa David Kafulila kwa sasa amekuwa (spinned) kuna ukweli katika upigaji anaokutana nao lakini hakosoi kulinda ugali.

Kafulila wa bungeni miaka hiyo alistahili kwa sasa ananyamazishwa kwa kupewa mlo usio halali anapokea na kukaa kimya huku akisifia kisichokuwepo.

Ni bora uendelee kusema ukweli huku ukitathiminiwa na wengine wenye uwezo kukupa ajira ya umma
 
Mkuu ni mradi gani wa PPP ambao unadhan Kafulila ameuona una upigaji afu yupo kimya?
Maana hatuwezi kujenga hoja kwa hisia bila facts. Ni mradi upi ambao unamuhusu kwenye PPP umesainiwa na yeye amepiga kimya?
 
Back
Top Bottom