Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Bro kuwaga na huruma.DON'T SORT THEM JUST KILL THEM ALL.
R.I.P WAKULIMA NAMBA MOJA CLEMENCE MTENGA NA JOSHUA MOLLEL.
Mimi nampenda Netanyahu kwa vile hakurupuki. Anatafuta mbaya wake anapiga mule mule. Mfano Iran ilipopiga Israel, yeye alijua Raisi ndiye kaamrisha. Hivyo amemuadhibu yeye badala ya Kuua Raia wasio na hatia. Ukiona huko Raffah, anatafuta hamas na akijulikana kiongozi wao yupo wapi, anapiga nyumba aliyomo.Tamwambia ujinga wake ndio furaha ya Hamasi aendelee na ujinga wake ili jeshi la bampers waishe wote 😄
Kwahio netanyau ndio kamuua raisi, duuh basi sio mchezo na vita vyake anapigana kiakili eehMimi nampenda Netanyahu kwa vile hakurupuki. Anatafuta mbaya wake anapiga mule mule. Mfano Iran ilipopiga Israel, yeye alijua Raisi ndiye kaamrisha. Hivyo amemuadhibu yeye badala ya Kuua Raia wasio na hatia. Ukiona huko Raffah, anatafuta hamas na akijulikana kiongozi wao yupo wapi, anapiga nyumba aliyomo.
Angalia hospital walivyo kuwa hamas wamejificha, aliwakanyaga na kuwazika. Israel wanaendesha vita ya Kisasa na Kiakili!
Hukujua?Kwahio netanyau ndio kamuua raisi, duuh basi sio mchezo na vita vyake anapigana kiakili eeh
namshauri kwamba aachane na mauaji na atubu. vyenginevyo akhera tunakoenda ni kuzitoWadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika
Naomba kujua ikitokea umepewa nafasi ya kushauri siku ya leo May 20,2024 Je utampa ushauri gani Waziri Mkuu Benjamin Netanyau?
Niwatakie usiku mwema wenye baraka tele Ndugu zangu wa jukwaa hili
Israel ni democratic nation, na huwa anashinda uchaguzi , hata aliposhindwa akakaa pembeni wananchi walimrudusha tena, Israel haihitaji waziri dhaifu, wakipata waziri dhaifu taifa lako litapata shida.Netanyahu ni kiongozi mpumbavu sana aliyeathirika zaidi kiakili kutokana na kungangania madaraka kwa muda mrefu