mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
😄 uzi ufungweNampongeza sana Nentanyahu, MOSSAD, Sayaret Matkal na IDF kwa Kazi nzuri ya UMAFIA walioifanya kwa Iran ile Jana.
Netanyau ngoma ngumu
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😄 uzi ufungweNampongeza sana Nentanyahu, MOSSAD, Sayaret Matkal na IDF kwa Kazi nzuri ya UMAFIA walioifanya kwa Iran ile Jana.
Oiyeyai! Ningemshauri sana aje huku umasaini kwetu tumchinjie dume ya ng'ombe ile kubwa (Orkiteng')halafu tumsimike awe Laigwanan na tena tumwombe sana akubali na aridhie tumpe jina la Mzee Ole Kiminyio (i.e. Mzee wa burdizo). Kazi yake ni nzuri kwani hao jamaa wametusababishia tuondolewe Ngorongoro na Loliondo eti wanatuleta huku cju kunaitwa Tanga au...Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika
Naomba kujua ikitokea umepewa nafasi ya kushauri siku ya leo May 20,2024 Je utampa ushauri gani Waziri Mkuu Benjamin Netanyau?
Niwatakie usiku mwema wenye baraka tele Ndugu zangu wa jukwaa hili
View attachment 2994579
Weeee! Acha hizo, Uzi usifungweee.😄 uzi ufungwe
Netanyau ngoma ngumu
Ova
Na bado ukaamini...??Hivi karibuni ICC-Hague itatoa waraka wa kumkamata (Arrest Warant) kwa sababu ya Uharifu wa Kivita unaofanywa na Israel kwa Wapalestina Gaza! Hivyo awe makini asifanye ziara katika Mataifa wanachama wa ICC mf.South Africa,Misri,nk
Hicho kitu wakisahau kumkamata tu all Assad wameshindwa liweje.kwa netanyauHivi karibuni ICC-Hague itatoa waraka wa kumkamata (Arrest Warant) kwa sababu ya Uharifu wa Kivita unaofanywa na Israel kwa Wapalestina Gaza! Hivyo awe makini asifanye ziara katika Mataifa wanachama wa ICC mf.South Africa,Misri,nk