Nashauri awe Kwanza kutuma Salamu za Rambirambi na kuhudhuria mazishi"Unafanya kazi nzuri endelea kuwapelekea moto baba"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashauri awe Kwanza kutuma Salamu za Rambirambi na kuhudhuria mazishi"Unafanya kazi nzuri endelea kuwapelekea moto baba"
Mnatafuta pa kujifichia enyi wayahudi wa Nkwimba....kwaiyo akifa mtu mashuhuri hata afie nyumbani mtasema kalogwa na Israel dah 😂Mimi nampenda Netanyahu kwa vile hakurupuki. Anatafuta mbaya wake anapiga mule mule. Mfano Iran ilipopiga Israel, yeye alijua Raisi ndiye kaamrisha. Hivyo amemuadhibu yeye badala ya Kuua Raia wasio na hatia. Ukiona huko Raffah, anatafuta hamas na akijulikana kiongozi wao yupo wapi, anapiga nyumba aliyomo.
Angalia hospital walivyo kuwa hamas wamejificha, aliwakanyaga na kuwazika. Israel wanaendesha vita ya Kisasa na Kiakili!
Unasafrishaje Raisi kwenye usafr wa kipuuzi namna hyo under such terrible weather conditions, wakat huo nchi upo kwenye alarming rate ... Huyo wamemsambaratisha psychologicallyMnatafuta pa kujifichia enyi wayahudi wa Nkwimba....kwaiyo akifa mtu mashuhuri hata afie nyumbani mtasema kalogwa na Israel dah 😂
Aendelee kukaza tu atakapo legeza atapotea kusiko julikana kama mwenzie p. Didy 😎😎Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika
Naomba kujua ikitokea umepewa nafasi ya kushauri siku ya leo May 20,2024 Je utampa ushauri gani Waziri Mkuu Benjamin Netanyau?
Niwatakie usiku mwema wenye baraka tele Ndugu zangu wa jukwaa hili
wewe umekosa huruma kwa watz wenzio unazuga kuwa na huruma kwa waarabuBro kuwaga na huruma.
kumbe hamas wanapenda vifo vya wapalestinaTamwambia ujinga wake ndio furaha ya Hamasi aendelee na ujinga wake ili jeshi la bampers waishe wote 😄
si ndo kauli zenu kuwa uhuru wa wapalestina umebebwa na wayaudi , mshasahau kuwa walilikataa wenyewe taifa laoMnatafuta pa kujifichia enyi wayahudi wa Nkwimba....kwaiyo akifa mtu mashuhuri hata afie nyumbani mtasema kalogwa na Israel dah 😂
Atubu ili awe na uhakika wa kutafuna bikra 72 peponi bwa shee?namshauri kwamba aachane na mauaji na atubu. vyenginevyo akhera tunakoenda ni kuzito
Jitahidini kua mnajisomea Uongozi wa Iran Rais ni kama pambo kwa uendeshaji wao wa nchiMimi nampenda Netanyahu kwa vile hakurupuki. Anatafuta mbaya wake anapiga mule mule. Mfano Iran ilipopiga Israel, yeye alijua Raisi ndiye kaamrisha. Hivyo amemuadhibu yeye badala ya Kuua Raia wasio na hatia. Ukiona huko Raffah, anatafuta hamas na akijulikana kiongozi wao yupo wapi, anapiga nyumba aliyomo.
Angalia hospital walivyo kuwa hamas wamejificha, aliwakanyaga na kuwazika. Israel wanaendesha vita ya Kisasa na Kiakili!
Hayo sasa ni Mauaji ya kimbari Maghayo.DON'T SORT THEM JUST KILL THEM ALL.
Huyo kwishaMnatafuta pa kujifichia enyi wayahudi wa Nkwimba....kwaiyo akifa mtu mashuhuri hata afie nyumbani mtasema kalogwa na Israel dah 😂
Najua ilapambo kwishaJitahidini kua mnajisomea Uongozi wa Iran Rais ni kama pambo kwa uendeshaji wao wa nchi
Nampongeza sana Nentanyahu, MOSSAD, Sayaret Matkal na IDF kwa Kazi nzuri ya UMAFIA walioifanya kwa Iran ile Jana.
Ajipongeze kwa kunywa K-vant kubwaWadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika
Naomba kujua ikitokea umepewa nafasi ya kushauri siku ya leo May 20,2024 Je utampa ushauri gani Waziri Mkuu Benjamin Netanyau?
Niwatakie usiku mwema wenye baraka tele Ndugu zangu wa jukwaa hili
View attachment 2994579
Wewe ahera ushawahi kwenda?namshauri kwamba aachane na mauaji na atubu. vyenginevyo akhera tunakoenda ni kuzito