Je, siku ya Leo unamshahauri nini hasa Benjamin Netanyau?

Mnatafuta pa kujifichia enyi wayahudi wa Nkwimba....kwaiyo akifa mtu mashuhuri hata afie nyumbani mtasema kalogwa na Israel dah 😂
 
Mnatafuta pa kujifichia enyi wayahudi wa Nkwimba....kwaiyo akifa mtu mashuhuri hata afie nyumbani mtasema kalogwa na Israel dah 😂
Unasafrishaje Raisi kwenye usafr wa kipuuzi namna hyo under such terrible weather conditions, wakat huo nchi upo kwenye alarming rate ... Huyo wamemsambaratisha psychologically
 
Aendelee kukaza tu atakapo legeza atapotea kusiko julikana kama mwenzie p. Didy 😎😎
 
Mnatafuta pa kujifichia enyi wayahudi wa Nkwimba....kwaiyo akifa mtu mashuhuri hata afie nyumbani mtasema kalogwa na Israel dah 😂
si ndo kauli zenu kuwa uhuru wa wapalestina umebebwa na wayaudi , mshasahau kuwa walilikataa wenyewe taifa lao
 
Jitahidini kua mnajisomea Uongozi wa Iran Rais ni kama pambo kwa uendeshaji wao wa nchi
 
Nitamkumbusha kuwa siku zote kwenye ukweli uongo hua unatabia ya kujitenga because you can fool peoples for sometimes but not all the times.
 
Ajiandaa kupelekwa Mahakama ya kimataifa kwa mauwaji ya kimbari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…