Je, siku ya Leo unamshahauri nini hasa Benjamin Netanyau?

Oiyeyai! Ningemshauri sana aje huku umasaini kwetu tumchinjie dume ya ng'ombe ile kubwa (Orkiteng')halafu tumsimike awe Laigwanan na tena tumwombe sana akubali na aridhie tumpe jina la Mzee Ole Kiminyio (i.e. Mzee wa burdizo). Kazi yake ni nzuri kwani hao jamaa wametusababishia tuondolewe Ngorongoro na Loliondo eti wanatuleta huku cju kunaitwa Tanga au...
 
Hivi karibuni ICC-Hague itatoa waraka wa kumkamata (Arrest Warant) kwa sababu ya Uharifu wa Kivita unaofanywa na Israel kwa Wapalestina Gaza! Hivyo awe makini asifanye ziara katika Mataifa wanachama wa ICC mf.South Africa,Misri,nk
 
Na bado ukaamini...??
 
Hicho kitu wakisahau kumkamata tu all Assad wameshindwa liweje.kwa netanyau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…