Je, siku za kuiingia hedhi mwanamke zikibadilika tarehe kuna tatizo?

Je, siku za kuiingia hedhi mwanamke zikibadilika tarehe kuna tatizo?

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Naomba wajuvi wa mambo wanisaidie hapa. Kama kila baada ya mwezi mwanamama anapata tarehe tofauti za hedhi kiafya ni sawa?

Mfano mwezi huu anaingia tar 24 alafu mwezi ujao anaingia tar 20. Hii kiafya ya uzazi iko imekaaje?
 
Kawaida mzunguko wa hedhi ni siku 28 japo wapo wanaoenda adi 30 so unacho takiwa kufahamu ni mzunguko wako ni siku ngapi then familia sasa tarehe zako vizuri kama mzunguko hauko stable basi unatatizo nenda kawaone wataalamu
 
Probably ana mzunguko wa siku 25. Ndio maana anaona kila mwezi na tar yake...
 
Back
Top Bottom