Nyankurungu2020 JF-Expert Member Joined Oct 2, 2020 Posts 4,170 Reaction score 6,757 Aug 23, 2021 #1 Naomba wajuvi wa mambo wanisaidie hapa. Kama kila baada ya mwezi mwanamama anapata tarehe tofauti za hedhi kiafya ni sawa? Mfano mwezi huu anaingia tar 24 alafu mwezi ujao anaingia tar 20. Hii kiafya ya uzazi iko imekaaje?
Naomba wajuvi wa mambo wanisaidie hapa. Kama kila baada ya mwezi mwanamama anapata tarehe tofauti za hedhi kiafya ni sawa? Mfano mwezi huu anaingia tar 24 alafu mwezi ujao anaingia tar 20. Hii kiafya ya uzazi iko imekaaje?
nchachu JF-Expert Member Joined May 30, 2021 Posts 258 Reaction score 594 Aug 23, 2021 #2 Kawaida mzunguko wa hedhi ni siku 28 japo wapo wanaoenda adi 30 so unacho takiwa kufahamu ni mzunguko wako ni siku ngapi then familia sasa tarehe zako vizuri kama mzunguko hauko stable basi unatatizo nenda kawaone wataalamu
Kawaida mzunguko wa hedhi ni siku 28 japo wapo wanaoenda adi 30 so unacho takiwa kufahamu ni mzunguko wako ni siku ngapi then familia sasa tarehe zako vizuri kama mzunguko hauko stable basi unatatizo nenda kawaone wataalamu
snowhite JF-Expert Member Joined Aug 2, 2012 Posts 18,065 Reaction score 24,559 Aug 23, 2021 #3 Hakuna tatizo.
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 48,444 Reaction score 194,235 Aug 23, 2021 #4 Probably ana mzunguko wa siku 25. Ndio maana anaona kila mwezi na tar yake...