akitaka still picture na video anunue ipiGoogle pixel na Samsung kwenye picha sawa ila sio video
Naelewa lakini limitations za camera ni kwamba haiwezi kutuma video wala picha kwenye mitandao ya kijamii hivyo itanilazimu kununua simu yenye uwezo mzuri. Kwa bajeti yangu hiyo nataka ninunue simu ambayo itakamilisha kila kitu, in future nitanunua camera.Ni bora kununua camera kuanzia canon 5d mark3 itakupa kitu bora zaidi kwa bajeti yako hiyo
Unaweza tumia camera kufanyia mambo yako then unaamishia kwenye simu saizi mambo ni rahisi sana bwasheeNaelewa lakini limitations za camera ni kwamba haiwezi kutuma video wala picha kwenye mitandao ya kijamii hivyo itanilazimu kununua simu yenye uwezo mzuri. Kwa bajeti yangu hiyo nataka ninunue simu ambayo itakamilisha kila kitu, in future nitanunua camera.
Camera ili ikupe kitu bora inabidi ujifunze kuitumia na uwe na muda wa kutosha.Ni bora kununua camera kuanzia canon 5d mark3 itakupa kitu bora zaidi kwa bajeti yako hiyo
Je ataweza kua na uwezo wa kununua kila toleo kwa mwaka husika maana camera za simu hizi zinakuja kila mwaka wanabadili matoleoCamera ili ikupe kitu bora inabidi ujifunze kuitumia na uwe na muda wa kutosha.
Simu ni sekunde kadhaa unapiga picha/video na kutuma hapo hapo.
Assume unauza viatu mtu yuko mkoani anakwambia hicho kiatu cheusi ulivhopost una kingine rangi ya beige cha size 43? Unasema ndio anakwambia piga picha unitumie nione, mwenye simu anapiga picha anatuma. Wewe na Canon yako unaanza ku-mount madude gani sijui na ukimaliza uhamishie kwa simu. Hapo una wateja na mambo kibao.
Camera zinatumika kwenye biashara zisizo na varieties nyingi. Unauza spares za magari kama ni fuel filter fulani ni hiyo tu, kama ni oil ya Oryx ni hiyo hiyo. Camera ni kwa kurekodi bidhaa zote ukawa unapost, au kufanya content kubwa mara kadhaa tu.
Hata camera zina matoleo kila mwaka. Hiyo Canon 5d Mk III uliyopendekeza ilitolewa 2012. Nimemshauri kulingana na bajeti yake hata angekuwa na bajeti ndogo ningemshauri kuanzia iPhone 13 Pro.Je ataweza kua na uwezo wa kununua kila toleo kwa mwaka husika maana camera za simu hizi zinakuja kila mwaka wanabadili matoleo
Ni kweli ila camera toleo lake linadumu kwa muda mrefu kulinganisha na cm kwa iPhone 13 pro ni bestHata camera zina matoleo kila mwaka. Hiyo Canon 5d Mk III uliyopendekeza ilitolewa 2012. Nimemshauri kulingana na bajeti yake hata angekuwa na bajeti ndogo ningemshauri kuanzia iPhone 13 Pro.
Mpenzi wa camera weweNi kweli ila camera toleo lake linadumu kwa muda mrefu kulinganisha na cm kwa iPhone 13 pro ni best