Je, simu gani inafaa kutengeneza kwa ajili ya kutengeneza content za biashara?

Je, simu gani inafaa kutengeneza kwa ajili ya kutengeneza content za biashara?

Habari wanabodi.

Nina duka la nguo na nataka kuanza kuandaa content kwa ajili ya kumarket biashara yangu.

Kwa wenye uzoefu nisaidieni kujua ni simu gani kwa bajeti ya 2.5M itanipatia simu nzuri yenye kutoa video bora?

Je ninunue Samsung S26 Ultra mpya au Used iPhone 16/17 pro max au google pixel?
Mkuu tumia simu uliyonayo, cha muhimu jitahidi kupiga picha nzuri. Kutumia simu ya 2.5m haku-guarantee kupata picha nzuri na kununua simu ya bei hiyo kwa ajili ya kupiga picha za kupost mtandaoni ni wastage of resources. By the way, hakuna mteja atayekuja dukani kwako kwa sababu ya picha nzuri, wateja watakuja kwa kuwa na bidhaa na huduma bora.
 
Back
Top Bottom