Je, simu gani inafaa kutengeneza kwa ajili ya kutengeneza content za biashara?

Chukua Iphone we mshamba. Iphone hajawahi kuwa na kazi mbovu kwa pics na vids hasa ktk platforms. Balaa la iphone upande wa Camera sio dogo, kwa video hakuna mpinzani wake.
 
Habari wanabodi.

Nina duka la nguo na nataka kuanza kuandaa content kwa ajili ya kumarket biashara yangu.

Kwa wenye uzoefu nisaidieni kujua ni simu gani kwa bajeti ya 2.5M itanipatia simu nzuri yenye kutoa video bora?

Je ninunue Samsung S26 Ultra mpya au Used iPhone 16/17 pro max au google pixel?
Kama content zako nyingi zinakuwa ni video chukua 17 pro max, kama picha zitakuwa nyingi kuliko video chukua s26 ultra
 
Habari wanabodi.

Nina duka la nguo na nataka kuanza kuandaa content kwa ajili ya kumarket biashara yangu.

Kwa wenye uzoefu nisaidieni kujua ni simu gani kwa bajeti ya 2.5M itanipatia simu nzuri yenye kutoa video bora?

Je ninunue Samsung S26 Ultra mpya au Used iPhone 16/17 pro max au google pixel?
Yoyote kati ya hizo inafaa
 
Ni bora kununua camera kuanzia canon 5d mark3 itakupa kitu bora zaidi kwa bajeti yako hiyo
iPhone 18 wameifanyia camera kama canon hizo sasa hivi una shoot like pro japo ni expensive kama pesa ipo nunua hiyo simu Camera yake kama kamera sasa hivi sema kwa hiyo pesa iPhone 17 hupati labda iphone Air
 
Kwasasa tanzania brand new iPhone 18 shingapi?
 
Sijui wanauzaje kwa sababu mimi nimetoa iPhone 17 Pro Max 512 GB nikambiwa nitoe 2m nikapewa iPhone 18 Pro Max black naona ni arround 4.55m -5.4m inategemeana na storage capacity
 
Mh watu wa IST hapo sio level yetu
 
Back
Top Bottom