Je , singida kupangasa kikosi dhaifu leo dhidi ya Simba kama walivyofanya dhidi ya Yanga?

Je , singida kupangasa kikosi dhaifu leo dhidi ya Simba kama walivyofanya dhidi ya Yanga?

NgerukeAbra

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2022
Posts
4,253
Reaction score
5,789
Hapa Sasa ndio tutajua matawi halisi ya nyuma mwiko....
Natarajia leo singida wapange kikosi kama walivyocheza na timu inayoitwa "wenye akili ni wawili tuu".
 
Mods kichwa cha habari ni 'kupanga' sio 'kupangasa'.....
 
1747638338342.jpg
 
Usihofie, bodi ya ligi na TFF ni za kwetu. Singida atapunguzwa nguvu kwa namna yeyote lazima wakae!
 
Hapa Sasa ndio tutajua matawi halisi ya nyuma mwiko....
Natarajia leo singida wapange kikosi kama walivyocheza na timu inayoitwa "wenye akili ni wawili tuu".
Wala usijali refa tunae na tunatamba nae penalty na magoli ya offside yatatuwezesha kushinda
 
Back
Top Bottom