NgerukeAbra
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 4,253
- 5,789
Ibakie hivyo hivyo kupangasa kwa sababu hata ulichokiandika chenyewe hakina mantiki. Zaidi Umepangasa tu.Mods kichwa cha habari ni 'kupanga' sio 'kupangasa'.....
Wala usijali refa tunae na tunatamba nae penalty na magoli ya offside yatatuwezesha kushindaHapa Sasa ndio tutajua matawi halisi ya nyuma mwiko....
Natarajia leo singida wapange kikosi kama walivyocheza na timu inayoitwa "wenye akili ni wawili tuu".
Kupangasa iachwe hivyo hivyo wala hujakosea hicho kilugha Chetu au huelewi maana ya Kupangasa hujawahi kupangaswa wewe?Mods kichwa cha habari ni 'kupanga' sio 'kupangasa'.....
Tunataka kikosi dhaifu kama walivyocheza na nyuma mwikoUsihofie, bodi ya ligi na TFF ni za kwetu. Singida atapunguzwa nguvu kwa namna yeyote lazima wakae!
Kwani nyuma mwiko waliwapigia bodi ya ligi?Kwahiyo mnataka mpangiwe kikosi dhaifu😂😂. Wapigie bodi ya ligi wawamrishe SBS!.
View attachment 3348309
Kikosi kiwe kama walivyocheza na nyuma mwiko.....Wala usijali refa tunae na tunatamba nae penalty na magoli ya offside yatatuwezesha kushinda
Kupangasa kabisa Ubaya Ubwela mtapangaswa hayo makamasi mliyotoka nayo pale AmaniTunataka kikosi dhaifu kama walivyocheza na nyuma mwiko
Ili mkapangaswe vizuri au sio?Kikosi kiwe kama walivyocheza na nyuma mwiko.....
Utopolo under investigation.....Ili mkapangaswe vizuri au sio?
Thubutu, leo ndio utaona watakavyokaza matako. Timu dhaifu ni dhidi ya bsba zao utopoloHapa Sasa ndio tutajua matawi halisi ya nyuma mwiko....
Natarajia leo singida wapange kikosi kama walivyocheza na timu inayoitwa "wenye akili ni wawili tuu".
Wenye akili ni wawili tuu...... Haji ManaraKupangasa kabisa Ubaya Ubwela mtapangaswa hayo makamasi mliyotoka nayo pale Amani