JE single Father nae anaruhusiwa kuowa Binti kigoli ambaye ni mgeni kwenye ntansinia ya mapenzi?

kadiri kasimba

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2022
Posts
588
Reaction score
1,150
Salam kwenu wakuu!

Twende kwenye mada husika, yupo mwamba moja yeye ana umri wa miaka 39 saivi, na hadi sasa ana watoto 6, wanne mama tofauti tofauti, na wawili mama moja huyo ndo waliishi nae km 8yrs, wakaachana, hao wengine jamaa alipita tu, ss baada ya kuachana na huyu alieishi nae (japo hakumwoa,waliishi tu) jamaa amepata Binti swala 5 tena kigori na sasa jamaa anataka kufunga zile pingu zinazoitwa za maisha, swali linakuja je huyo jamaa hata kuwa ameingia chaka kuowa Binti mdogo na timu aliyonayo maana ana 23 umri huyo Binti na upande wa Binti hata kuwa hajatendewa haki kuingia Kwa mwanaume Mwenye tayari timu ya watoto? Kuusu kipato Cha jamaa ni normal tu mpambanaji, hii imekaaje wakuu?
 
Binti kama anataarifa kuhusu huyo mwamba na amekubali kuolewa, sisi HAYATUHUSU.
Wamependana hao, na umri wa miaka 23 unatosha hata kulea kijiji.
 
Kushauri kwenye mapenzi ngumu sana Kila mtu afanye vile anaona kuwa vema
 
Back
Top Bottom