Mdogo sana kwa hyo timu, labda kama watt wanaish na mama zaoSalam kwenu wakuu!
Twende kwenye mada husika, yupo mwamba moja yeye ana umri wa miaka 39 saivi, na hadi sasa ana watoto 6, wanne mama tofauti tofauti, na wawili mama moja huyo ndo waliishi nae km 8yrs, wakaachana, hao wengine jamaa alipita tu, ss baada ya kuachana na huyu alieishi nae (japo hakumwoa,waliishi tu) jamaa amepata Binti swala 5 tena kigori na sasa jamaa anataka kufunga zile pingu zinazoitwa za maisha, swali linakuja je huyo jamaa hata kuwa ameingia chaka kuowa Binti mdogo na timu aliyonayo maana ana 23 umri huyo Binti na upande wa Binti hata kuwa hajatendewa haki kuingia Kwa mwanaume Mwenye tayari timu ya watoto? Kuusu kipato Cha jamaa ni normal tu mpambanaji, hii imekaaje wakuu?
Eee ndio maana mwanaume anaweza oa hata wanawake ishirini na akaishi nao mji mmoja, lakini mwanamke hawezi kuolewa na wanaume wawili akaishi nao mji mmoja.Amna ukomo wa kuoa? Ila wanaume wakiafrika mna vituko😄
Au naye atafute single mother wafungue shule😂😂😂Mwambie huyo rafiki yako sijui wewe ajiandae kuteseka yeye na watoto wake
Mpumbavu yaani katika wale alowazalisha amekosa wa kuoa??
Mwambie safari ya mateso yake itaanza pale atakapomuoa huyo binti
Mwambie kama anabisha amuoe ajionee live
Fafanua mkuu?Mwambie huyo rafiki yako sijui wewe ajiandae kuteseka yeye na watoto wake
Mpumbavu yaani katika wale alowazalisha amekosa wa kuoa??
Mwambie safari ya mateso yake itaanza pale atakapomuoa huyo binti
Mwambie kama anabisha amuoe ajionee live
Kuna kaukweli hapa lakini umewaza wale watoto, kumuheshimu chombo ya baba?Eee ndio maana mwanaume anaweza oa hata wanawake ishirini na akaishi nao mji mmoja, lakini mwanamke hawezi kuolewa na wanaume wawili akaishi nao mji mmoja.
Usichoelewa nini mkuuFafanua mkuu?
Mdogo kuhandle majukumu au kiutashi?Mdogo sana kwa hyo timu, labda kama watt wanaish na mama zao
Yaani wanawake wote alozaa nao akose mwenye vigezo hata vi 5 kati ya vigezo 100 alivyonavyo huyo Kilaza wakoAu naye atafute single mother wafungue shule😂😂😂
Jiwe gizani Nini mkuu?Nasoma ujumbe
Aliowazalisha wawili nao walizalishwa wakaachika mmoja kaolewa na yule aliezaa nae watoto wawili wakatengana Bado yupo single mother tu!Yaani wanawake wote alozaa nao akose mwenye vigezo hata vi 5 kati ya vigezo 100 alivyonavyo huyo Kilaza wako
vigezo vya kuoa na kuolewa ni tofauti.Salam kwenu wakuu!
Twende kwenye mada husika, yupo mwamba moja yeye ana umri wa miaka 39 saivi, na hadi sasa ana watoto 6, wanne mama tofauti tofauti, na wawili mama moja huyo ndo waliishi nae km 8yrs, wakaachana, hao wengine jamaa alipita tu, ss baada ya kuachana na huyu alieishi nae (japo hakumwoa,waliishi tu) jamaa amepata Binti swala 5 tena kigori na sasa jamaa anataka kufunga zile pingu zinazoitwa za maisha, swali linakuja je huyo jamaa hata kuwa ameingia chaka kuowa Binti mdogo na timu aliyonayo maana ana 23 umri huyo Binti na upande wa Binti hata kuwa hajatendewa haki kuingia Kwa mwanaume Mwenye tayari timu ya watoto? Kuusu kipato Cha jamaa ni normal tu mpambanaji, hii imekaaje wakuu?
Atafute single mama aoe huyo atamsumbuaAliowazalisha wawili nao walizalishwa wakaachika mmoja kaolewa na yule aliezaa nae watoto wawili wakatengana Bado yupo single mother tu!
Hii inaweza kuwa suluhisho mkuu naunga mikono hoja!Atafute single mama aoe huyo atamsumbua
Kwaiyo unamshauri ajitafute kwanza?vigezo vya kuoa na kuolewa ni tofauti.
1. Kuoa ni lazima uwe vizuri kiuchumi ila kuolewa uchumi wa mwanamke siyo kigezo.
2. Kuoa body count siyo kigezo ila kuolewa body count ni kigezo kikubwa mno.
ndiyo maana biti anasema anataka kuolewa na mwanamme mwenye hela na kijana anatafuta kuoa binti mwenye bikra.
It depend anaweza asiwe maana with 39 imri umekwenda unataka hata wa kukuletea uji ukiumwa.ingawa nimisha ona ndoa 2 watu wameaachana wote wakiwa na 50 plusHuyo dada atajuta
Single
Maza Namba Saba huyo
Kwa miaka ya saivi kucheza hiyo game hutoboi ndugu Tena na watoto Hawa wa 2000? Lazima wakumalize!Yani amezaa na wanawake 5 watoto 6,nilijua mm ni straker kumbe mie bado kinda kabisa.
Dah ila huyo jamaa kitombi sana kuzaa na wanawake 5 tofauti huo ni umalaya wa kupita kiasi kwa karine hii.