kadiri kasimba
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 588
- 1,150
Binti kama anataarifa kuhusu huyo mwamba na amekubali kuolewa, sisi HAYATUHUSU.Salam kwenu wakuu!
Twende kwenye mada husika, yupo mwamba moja yeye ana umri wa miaka 39 saivi, na hadi sasa ana watoto 6, wanne mama tofauti tofauti, na wawili mama moja huyo ndo waliishi nae km 8yrs, wakaachana, hao wengine jamaa alipita tu, ss baada ya kuachana na huyu alieishi nae (japo hakumwoa,waliishi tu) jamaa amepata Binti swala 5 tena kigori na sasa jamaa anataka kufunga zile pingu zinazoitwa za maisha, swali linakuja je huyo jamaa hata kuwa ameingia chaka kuowa Binti mdogo na timu aliyonayo maana ana 23 umri huyo Binti na upande wa Binti hata kuwa hajatendewa haki kuingia Kwa mwanaume Mwenye tayari timu ya watoto? Kuusu kipato Cha jamaa ni normal tu mpambanaji, hii imekaaje wakuu?
Ngoja waje
Shukrani za dhati mkuu!Binti kama anataarifa kuhusu huyo mwamba na amekubali kuolewa, sisi HAYATUHUSU.
Wamependana hao, na umri wa miaka 23 unatosha hata kulea kijiji.
Siyo Mimi mkuu Mimi ujana ulishaniacha kitambo, sasa nalea wajukuu!Huyo jamaa n wewe, oa tu hayanaga muongozo
How?😂😂Huyo dada atajuta
Single
Maza Namba Saba huyo
Nawaza tu kama mwamba atakuwa anamkatili yule kigoliHuyo mwamba ni wewe,
Oa tu wanaume hatuna ukomo wa kuoa
Kama n hivyo aoe tu mkuu haina shida kikubwa asiwatese watoto aliowakuta.Siyo Mimi mkuu Mimi ujana ulishaniacha kitambo, sasa nalea wajukuu!
Amna ukomo wa kuoa? Ila wanaume wakiafrika mna vituko😄Huyo mwamba ni wewe,
Oa tu wanaume hatuna ukomo wa kuoa
Ndugu zake wameshaanza maneno kuwa unaendaje kulea timu na wewe Bado hata ujazaa na una una uhakika Gani km hao aliwowazalisha aendelei nao? Ila Binti kaoza hatari Kwa jamaa!Kama n hivyo aoe tu mkuu haina shida kikubwa asiwatese watoto aliowakuta.
Atie mimba tu maneno yataishaNdugu zake wameshaanza maneno kuwa unaendaje kulea timu na wewe Bado hata ujazaa na una una uhakika Gani km hao aliwowazalisha aendelei nao? Ila Binti kaoza hatari Kwa jamaa!