JE single Father nae anaruhusiwa kuowa Binti kigoli ambaye ni mgeni kwenye ntansinia ya mapenzi?

Mwambie huyo rafiki yako sijui wewe ajiandae kuteseka yeye na watoto wake

Mpumbavu yaani katika wale alowazalisha amekosa wa kuoa??

Mwambie safari ya mateso yake itaanza pale atakapomuoa huyo binti

Mwambie kama anabisha amuoe ajionee live
 
Mdogo sana kwa hyo timu, labda kama watt wanaish na mama zao
 
Amna ukomo wa kuoa? Ila wanaume wakiafrika mna vituko😄
Eee ndio maana mwanaume anaweza oa hata wanawake ishirini na akaishi nao mji mmoja, lakini mwanamke hawezi kuolewa na wanaume wawili akaishi nao mji mmoja.
 
Mwambie huyo rafiki yako sijui wewe ajiandae kuteseka yeye na watoto wake

Mpumbavu yaani katika wale alowazalisha amekosa wa kuoa??

Mwambie safari ya mateso yake itaanza pale atakapomuoa huyo binti

Mwambie kama anabisha amuoe ajionee live
Au naye atafute single mother wafungue shule😂😂😂
 
Mwambie huyo rafiki yako sijui wewe ajiandae kuteseka yeye na watoto wake

Mpumbavu yaani katika wale alowazalisha amekosa wa kuoa??

Mwambie safari ya mateso yake itaanza pale atakapomuoa huyo binti

Mwambie kama anabisha amuoe ajionee live
Fafanua mkuu?
 
Yaani wanawake wote alozaa nao akose mwenye vigezo hata vi 5 kati ya vigezo 100 alivyonavyo huyo Kilaza wako
Aliowazalisha wawili nao walizalishwa wakaachika mmoja kaolewa na yule aliezaa nae watoto wawili wakatengana Bado yupo single mother tu!
 
vigezo vya kuoa na kuolewa ni tofauti.
1. Kuoa ni lazima uwe vizuri kiuchumi ila kuolewa uchumi wa mwanamke siyo kigezo.
2. Kuoa body count siyo kigezo ila kuolewa body count ni kigezo kikubwa mno.

ndiyo maana biti anasema anataka kuolewa na mwanamme mwenye hela na kijana anatafuta kuoa binti mwenye bikra.
 
Kwaiyo unamshauri ajitafute kwanza?
 
Yani amezaa na wanawake 5 watoto 6,nilijua mm ni straker kumbe mie bado kinda kabisa.
Dah ila huyo jamaa kitombi sana kuzaa na wanawake 5 tofauti huo ni umalaya wa kupita kiasi kwa karine hii.
 
Yani amezaa na wanawake 5 watoto 6,nilijua mm ni straker kumbe mie bado kinda kabisa.
Dah ila huyo jamaa kitombi sana kuzaa na wanawake 5 tofauti huo ni umalaya wa kupita kiasi kwa karine hii.
Kwa miaka ya saivi kucheza hiyo game hutoboi ndugu Tena na watoto Hawa wa 2000? Lazima wakumalize!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…