Je, Sokoine alikufa kwa ajali ya gari, Au aliuawa kwa kupigwa risasi 18 kifuani?


Kama alipigwa risasi na kabuli lipo ni kufufua kufanya vipimo.
Hii ilishatokea kipindi cha sovient urusi sijui mtawala gani, kifo chake na familia nzima waliuliwa ila mabaki yalikosekana na miaka mbele ilipokuja kugundulika mabaki ya familia moja yalifanyiwa uchunguzi na kuzikwa kwa heshima zote za kijeshi maana alikufa kifo kibaya na familia yake niliangalia mda Mada hii unaweza kunikumbusha.
 
Lakini katika miaka yote ya utawala wake udisadi wa Nyerere ni huo tuu wa sh.60 miln.alizoshirikiana na Kawawa?

Pengine pesa ilotakiwa kwa Kazi maalumu na ikapatikana kwa njia hiyo sasa kuna shida gani?

Wewe kama nani unaweza kimtisha Rais na amiri jeshi mkuu? Lazima avune jeuri yako uliyoipanda.
 
Nyerere aliyeweza kupiga simu benki kuu na kuagiza apewe fedha anazotaka kwa sababu za "usalama wa taifa" alihitaji kuuza meli ili aibe hela za umma?

Ushawahi kufika kwa Nyerere ukaona alivyoishi?
Tuelezee aliishi vipi huyu Mzee.
 
Mkuu kwa iyo hizo hela zote mzee Nyerere alihonga au? Manake maisha ya mzee wetu yanajulikana wazi hadi leo....!
 
labda alikuwa hapendi show off
 
labda alikuwa hapendi show off
Sio show off ni either utajiri upo au haupo. Mtu akinunua Lamborghini ataliendeshea mfukoni ili isionekane show off? Mtu asipokuwa na nyumba ya kuishi utasema hana kwa vile hapendi show off. Hizi ni kauli za bongofleva ambazo kwenye reality hazifanyi kazi.

Nyerere aliishi simple life na hakuiba popote
 
Niliamua kutokumaliza uzi wote na kuamua kuja kusoma michango ya watu; nahisi mleta UZI ni kijana wa juzi juzi, anatudanganya hata tuliokwepo enzi hizo; jinga kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…