Je, Sokoine alikufa kwa ajali ya gari, Au aliuawa kwa kupigwa risasi 18 kifuani?

Katika moja ya siku nilizowahi kupatwa na mshangao sana ni pale nilipomuona binti mmoja wa Fisadi Nyerere akipanda daladala ya Masaki- Posta katika kituo cha Palm Beach, Upanga.
Baba Yao kafisadi Kisha wanae wanapanda daladala[emoji41][emoji1787]
Ama kweli ukitaka kumuua mbwa basi mpatie jina baya...
 
"Ikumbukwe kwamba wakati anaondoka kwenda Dodoma Marehemu Sokoine alisema maneo ya mwisho yafuatayo:Nikimaliza kuwatumbua majipu mawaziri wangu, basi napanda juu nikamtumbue majipu Mwalimu Nyerere kwa vile anaonekana siyo msafi"
Hapa ndio nilipodharau huu mchaichai.
 
Hatsri sana hii Dunia
 
Ulipo mhusisha Nyerere na ufisadi umekosea sana na dhambi hii itakukula wewe na kizazi chako hadi kizazi cha nne.Nyerere alikuwa anajitoa si kwa Watanzania tu, hata kwa Waafrika wote.Kuna tetesi kwamba baada ya wenzetu wa kusini mwa Afrika kukisa misaada ya kuendesha mapambano ya ukombizi meli hii iliuzwa na pesa kupewa wenzetu ili wawe huru.
Kuhusu PM kama alifika wakati wa kumtendea hivyo bosi wa nchi kufa ilikuwa haki yake maana kumbuka Mfumo wetu wa usalama na hasa enzi hizo za Special Branch kabla ya TISS classified info zilibaki kwa Mkuu wa nchi, hata Makamu hakuwa na nafasi ya kujua. Kwa asili ya Mwl lazima aliuza meli kwa maslahi mapana ya Africa
 
Hii ni Riwaya au?
 
Mkuu leta Uzi wa Mali za nyerere
 
Ivi ukoo wa kawawa upo wapi
INGAWA HAWAVUMI KTK SIASA WAPO NA WANA MAWE YA KUTOSHA TU,TENA SIO KITOTO,KUNA DOGO NILISOMA NAE 13YRS AGO NI MJUKUU WA KAWAWA ALIKUWA ANAISHI UPANGA MIAKA HIYO,KIPINDI HICHO DADA YAKE ALIKUWA MEJA TENA OFISI YA MHASIBU JESHINI PALE KAMBI YA MGULANI JKT,KWASASA DOGO YUPO FINLAND ANAKULA MAISHA,DADA YAKE SIJUI AMEFIKA CHEO GANI.
 
Nyerere alikuwa amesoma elimu ya kimagharibi na akataka autumie mfumo wa kijamaa kuongoza nchi na alifeli kwenye Kila kitu,,,ni Bora angeendeleza ubepari wa mkoloni alioukuta kwa sababu alikuwa na elimu ya kibepari,,,Sasa Moringe alikuwa na elimu ya kijamaa kutoka nchi ya kijamaa na alikuwa ameiva kwenye ujamaa kivitendo,,,Sasa walimuua kwa Siri maana wasingeweza kumudu kumuongoza Aishi kinafki kama wao,, yeye kilichokuwa kimebaki ni kumpisha TU,,yule alikuwa mjamaa halisi na kama angeioongoza nchi hii hata miaka mitano angeacha kumbukumbu ya kudumu.Mimi naamini kufa kwa Sokoine kulikuwa na maana kubwa sana yaani kufa kwa dira yote ya Tanzania... Tanzania ilipoteza dira rasmi baada ya kufa huyu mwamba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushetani ulianza tangu zamani, kupitia katiba ya hovyo ya CCM
 
Hard to believe
 
Huyo alikuwa Czar Nicholas Alexander Mfalme wa mwisho wa Urusi aliyeuawa yeye na familia yake na utawala wa Lenin mwaka 1917.
 
Unasaidiaje watu wengine ilhali watu wako mwenyewe wanakufa njaa?
 
Nyerere aliyeweza kupiga simu benki kuu na kuagiza apewe fedha anazotaka kwa sababu za "usalama wa taifa" alihitaji kuuza meli ili aibe hela za umma?

Ushawahi kufika kwa Nyerere ukaona alivyoishi?
Uzi wa zamani sikupata kuusoma kabla huu!

Katika members ninaoamini kuwa na mantiki za juu katika forum hii ni pamoja na Kiranga.

Hii comment imenifanya nianze kumtafakari Kiranga!

Hivi kiranga anaweza ku over expect jambo lolote bila ya kulifanyia utafiti na tafakari ya kutosha kweli!

Hivi Kiranga amezaliwa miaka ya '90nini!

Hivi Kiranga ni kada msisiem?

Hoja hii ya utetezi wa Nyerere imenifikirisha sana kuhusu Kiranga!

Labda nikuulize Kiranga, mateso yote yahusuyo muungano mbovu, ubovu wa Katiba ya leo, ufisadi wa Sisiem na dhuluma nyinginezo zilizodumu kuanzia Uhuru hadi leo, siasa za Chama kimoja, ghushi za matokeo katika chaguzi zote kuanzia awamu ya kwanza, muasisi wake ni nani haswa?

Huyu mtoa mada, alitoa hoja jadidifu ili ma great thinkers muweze kuja na majibu sahihi ya kiuchambuzi!

Usimuamini binadamu 100% na usiwe na overexpectations juu ya uaminifu wa uongozi kwa kiongozi yeyote wa Afrika, utapotea ama utapotosha!

Mimi nimeishi na kufanya kazi kuanzia utawala huo wa Awamu ya kwanza ya Nyerere na ninakijua alichokiongea mtoa hoja, kina mashiko.

Kifo cha Sokoine kilifumbwa kama alivyoeleza mtoa hoja.

Si vibaya kikachunguzwa na kuanika ukweli wote wa kifo hicho cha utata bila hata malengo zaidi ya kuupata tu ukweli.
 
Mkuu,

Mimi najua matatizo ya Nyerere na ukitaka tuyajadili tunaweza kuyajadili.

Ila nimeongelea suala specific la tuhuma za Nyerere kuuza meli, tuhuma ambazo hazina msingi.

Na nimezijibu kimantiki, usifanye logical non sequitur ya kuchomeka mambo mengine meengi kumhusu Nyerere ambayo mimi hata sijayataja na hayana relevance kwenye hoja yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…