Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Hivi haya makongoro na mikia si tunakula na ngozi pia?Ngombe Hana kiungo chochote ambacho ni sumu. Kula ngozi kwa afya yako. Tena ngozi ukichemshwa inavimba na kutengeneza layer nzuri Sana na hata unapotafuna unatoa sauti Bora sana
Kwa kweli,Hali ni ngumu Sana wazee, tupambane, siongei kama mazuri vile
Eti sauti bora sana🤣🤣Ngombe Hana kiungo chochote ambacho ni sumu. Kula ngozi kwa afya yako. Tena ngozi ukichemshwa inavimba na kutengeneza layer nzuri Sana na hata unapotafuna unatoa sauti Bora sana
utawatambua kwa ngozi zao tu huwezi ukala magimbi ukatamba mjiniHivi haya makongoro na mikia si tunakula na ngozi pia?
Kuna wanaokula utumbo wa nguruwe, na wa kuku broiler,
Mjini hakitupwi kitu, pia tumbo halioneshi umekula nini, aliekula biriani na aliekula magimbi hawezi kuwatambua
Mkuu,Wanywa mapombe machafu huwa hawawazi hizo ngo mradi zichemshwe mpaka zilainike wanachanganyaga na mapafu ya ng'ombe
Kitu inatupwaga nadhani labda ni nyongo,na manyoya