Vhagar
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,550
- 39,949
Ushawahi kunywa na ukapata shida yeyote?Je supu ya ngozi ya ng'ombe inayouzwa maeneo ya mbagala inausalama kiafya
Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika
Supu ya ngozi imayochanganywa na mapupu & bandana ambayo hupelekea rangi yake kuwa nyeusi ni maarufu maeneo tajwa
Wadau je kiafya kuna Usalama?
Karibuni tujadili