Je, supu ya ngozi ya ng'ombe inayouzwa maeneo ya Mbagala ina usalama kiafya?

Je, supu ya ngozi ya ng'ombe inayouzwa maeneo ya Mbagala ina usalama kiafya?

Je supu ya ngozi ya ng'ombe inayouzwa maeneo ya mbagala inausalama kiafya

Wadau hamjamboni nyote?

Kichwa cha habari chahusika

Supu ya ngozi imayochanganywa na mapupu & bandana ambayo hupelekea rangi yake kuwa nyeusi ni maarufu maeneo tajwa

Wadau je kiafya kuna Usalama?

Karibuni tujadili
Yote hiyo ni dalili za umaskini uliotopea! Dar watu wanakula mpaka mavi ya kuku nasikia siku hizi kwenye kuku hakuna kinachotupwa! Wakati sisi tunakua mama alitufundisha kukatakata kuku mapafu, utumbo, bandama vyote tulikuwa tunatupa! Sasa nyie watu wa Dar mnanishangaza sana vyote hivyo siku hizi mnakula!
 
Ila Dar ni pagumu Sana. Usiwaone watu wanakuwa weupe Ni kunywa maji mengi
tu. Ila Kwa msosi wengi ni mlo mmoja
 
Ndo maana nimesema wengi wao, kwenye misosi ni wanakula kila kitu.
1714413115099.jpeg
 
utawatambua kwa ngozi zao tu huwezi ukala magimbi ukatamba mjini
Ukiingia Serena hotel ukioda magimbi
Kwa suala la chakula Dar iko nyuma sana. Watu wanakula vitu vya hovyo mno. Nilipofika Dar mara ya kwanza nilishangaa mtu anakula chips kama chakula cha jioni akalale. Kuna msosi wao maarufu sana wanaita dagaa mchele. Ukitoka Dar ukaenda Moshi utaona tofauti kubwa sana kwenye msosi.
Dagaa wenyewe weusi, u
Kwa suala la chakula Dar iko nyuma sana. Watu wanakula vitu vya hovyo mno. Nilipofika Dar mara ya kwanza nilishangaa mtu anakula chips kama chakula cha jioni akalale
Ile harufu sijui sijui wanakunywa je wale watu
Huwa wanfuata hiyohiyo harufu,ushawahi Kula samaki ngonda au nguru?
utawatambua kwa ngozi zao tu huwezi ukala magimbi ukatamba mjini
 
Kuna mahali uko mbishe zako muda wa kupika au kupikiwa uko wapi?
Inabidi ule nje tu. Ndio maana nimesema vyakula vya nje havina afya kwasababu kila mlaji huwa na maradhi yake. Sasa ana presha chumvi nyingi maradhi hayo.
 
Yote hiyo ni dalili za umaskini uliotopea! Dar watu wanakula mpaka mavi ya kuku nasikia siku hizi kwenye kuku hakuna kinachotupwa! Wakati sisi tunakua mama alitufundisha kukatakata kuku mapafu, utumbo, bandama vyote tulikuwa tunatupa! Sasa nyie watu wa Dar mnanishangaza sana vyote hivyo siku hizi mnakula!
yote hayana tofauti wote mnakula marehem kuku 🤣 au maiti ya kuku😁
 
Back
Top Bottom